JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Hatari sana, sema nini...ukiamua kula maisha wala usiogope sana. Waja hawaachi kusema wanavyotaka🤣
Hahha kwakweli Kila mtu Aishi apendavyo tu watu hawaishiwi hoja
 
mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Mwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.

Ana account FB lakini ana rafiki mmoja tu, likewise insta hana friends. Yeye kazi yake kufuatilia page kadhaa tu basi.

Sasa huenda kuna point; nyie wanawake ambao mnasigana mitandaoni mfano jukwaa la siasa unabishana asubuhi hadi jioni inafaa mjitafakari
 
😂😂😂😂Heneho bhabwire bhabwire
 
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo na wewe unamwamini?work up!
 
Kwanza mimi binafsi napenda mdada awe mjanja... Hao wasikutishe, ukiona mtu anahukumu kitu hasichokuwa na uhakika nacho huyo ni mshamba... Sasa JF si ni kama Twitter tu
Wakora waitu!
 
Back
Top Bottom