JF ilivyoua huba langu

Nakutania mkuu, unaweza kufunga pm ukitaka, ila sio lazima coz ukifunga na mtu(mimi πŸ€ͺ) anataka kuongea na wewe private inakuwa ngumu kukufikia.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣Leo na uzee wako umepatikana
 
Nakutania mkuu, unaweza kufunga pm ukitaka, ila sio lazima coz ukifunga na mtu(mimi πŸ€ͺ) anataka kuongea na wewe private inakuwa ngumu kukufikia.
Ok hapo sawa
 
Hivi eenh??
Kabisaa,tenda jambo Jema la hekima na busara linasahaulika haraka ila Sasa kunywa pombe vua nguo hadharani hili hawasahau ng'o😁
 
Kama huyo Adam alishindwa kumjua Hawa huko bustanini we ni nani? Huwezi kumjua mwanamke braza
Una uhakika mimi na Adam tunalingana maarifa na Imani?

Au Eva na mke wangu wanalingana maarifa na uelewa?
 
Una uhakika mimi na Adam tunalingana maarifa na Imani?

Au Eva na mke wangu wanalingana maarifa na uelewa?
Wamewazidi kila kitu Hadi dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…