JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Nakutania mkuu, unaweza kufunga pm ukitaka, ila sio lazima coz ukifunga na mtu(mimi 🤪) anataka kuongea na wewe private inakuwa ngumu kukufikia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo na uzee wako umepatikana
 
Kama huyo Adam alishindwa kumjua Hawa huko bustanini we ni nani? Huwezi kumjua mwanamke braza
Una uhakika mimi na Adam tunalingana maarifa na Imani?

Au Eva na mke wangu wanalingana maarifa na uelewa?
 
Back
Top Bottom