Pole sana.Ni njia ya kujifunza na kuuelewa ulimwengu.Basi ilifanikiwa maana nilisindwa gubu
Binadamu utawaweza basi wakitafuta sababu?utashangaa anataka umtengenezee ice cream ya moto,ole wako Sasa ushindwe,😥😥😥😥Mbona mi na yeye wote tupo na anasomaga ujinga wangu anacheka tu
Na hapa atasoma Pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baby usiniache kisa JF, ukinichoka nitakupa strong reason ya kuniacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alikua anatafuta tu sababu
Wanasema akina babu huwa wana sukari guru iliyo tamu ajabu!Sijui kweli?🤔Tatizo ushakuwa babu😁
Kwa hiyo Babu hastahili Huba??Tatizo ushakuwa babu😁
Jamani baby wangu mbona sisi tuko wote huku jf na mambo yatu ni motooooSi mdada tu ila kuwa hata na mwanaume wa jf ni kipengele kitupu.......japo wema wapo pia
Kila kitu tunajua,tatizoHumu watu wajuaji sana
Umeona eeh,itakuwa alijua dah Sasa huyu nikileta stori huyu si atanijua?Jamaa atakuwa alikuja kuomba ushauri humu kwahyo akaona sasa mbona siri zake zitakuja kubumburuka ameona isiwe shida😁😁😁
Akikuacha tu imekula kwake😁Mbona mi na yeye wote tupo na anasomaga ujinga wangu anacheka tu
Na hapa atasoma Pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baby usiniache kisa JF, ukinichoka nitakupa strong reason ya kuniacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alikua anatafuta tu sababu
Maombi yangu yako pamoja na weweHilo halikuwa huba bali “bua”.
Basi alikuwa anawafanyia vibaya jinsia ke..so akajua yalealiyokuwa akiyatenda..basi nawe utakuwa ni wale wale woi.
Nimejaribu kuwaza kivingine au alikuwa anataka kukupiga chini muda sema hakupata sababu😁😁
Mwanadamu bhana hajawahi kuwa na utulivu jamani😆
Kuna mwamba Niko naye sasa huyu bwana ni anajielewa 95% aise na tangu nimekuwa nae nimekuwa na Amani mno siwezi lalamika 🥰
Sasa yapata wiki moja ninaanza kupata kisirani juu yake yani ninakila chokochoko za kuchimbua ugomvi🥹🥹
Nimelogwa hakika niombewe 😆😆ninajijua sipendagi mikwaruzano kwenye mahusiano kabisa
Akiwa nahela ndio anakuwa guru zaidi yaaaniii…”gundi”🤸♀️🤸♀️Wanasema akina babu huwa wana sukari guru iliyo tamu ajabu!Sijui kweli?🤔
Alaah!Basi tukazane kwenye kilimo cha hela.🤔Akiwa nahela ndio anakuwa guru zaidi yaaaniii…”gundi”🤸♀️🤸♀️
Akikuacha tu imekula kwake[emoji16]