JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Mbona mi na yeye wote tupo na anasomaga ujinga wangu anacheka tu
Na hapa atasoma Pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Baby usiniache kisa JF, ukinichoka nitakupa strong reason ya kuniacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa alikua anatafuta tu sababu
 
Binadamu utawaweza basi wakitafuta sababu?utashangaa anataka umtengenezee ice cream ya moto,ole wako Sasa ushindwe,😥😥😥😥
 
Hilo halikuwa huba bali “bua”.
Basi alikuwa anawafanyia vibaya jinsia ke..so akajua yalealiyokuwa akiyatenda..basi nawe utakuwa ni wale wale woi.

Nimejaribu kuwaza kivingine au alikuwa anataka kukupiga chini muda sema hakupata sababu😁😁

Mwanadamu bhana hajawahi kuwa na utulivu jamani😆

Kuna mwamba Niko naye sasa huyu bwana ni anajielewa 95% aise na tangu nimekuwa nae nimekuwa na Amani mno siwezi lalamika 🥰

Sasa yapata wiki moja ninaanza kupata kisirani juu yake yani ninakila chokochoko za kuchimbua ugomvi🥹🥹

Nimelogwa hakika niombewe 😆😆ninajijua sipendagi mikwaruzano kwenye mahusiano kabisa
 
Mbona mi na yeye wote tupo na anasomaga ujinga wangu anacheka tu
Na hapa atasoma Pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Baby usiniache kisa JF, ukinichoka nitakupa strong reason ya kuniacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa alikua anatafuta tu sababu
Akikuacha tu imekula kwake😁
 
Hilo halikuwa huba bali “bua”.
Basi alikuwa anawafanyia vibaya jinsia ke..so akajua yalealiyokuwa akiyatenda..basi nawe utakuwa ni wale wale woi.

Nimejaribu kuwaza kivingine au alikuwa anataka kukupiga chini muda sema hakupata sababu😁😁

Mwanadamu bhana hajawahi kuwa na utulivu jamani😆

Kuna mwamba Niko naye sasa huyu bwana ni anajielewa 95% aise na tangu nimekuwa nae nimekuwa na Amani mno siwezi lalamika 🥰

Sasa yapata wiki moja ninaanza kupata kisirani juu yake yani ninakila chokochoko za kuchimbua ugomvi🥹🥹

Nimelogwa hakika niombewe 😆😆ninajijua sipendagi mikwaruzano kwenye mahusiano kabisa
Maombi yangu yako pamoja na wewe
Nawewe uache chokochoko sasa
 
Back
Top Bottom