JF ilivyoua huba langu

Shenzy zake kabisa!Sasa si angesema tu anazungukazunguka Nini๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sasa na wewe umeanza kulitafuta uachike useme umerogwa hebu jitulize,ukipendwa pendeka mamaa
 
Pole sana!
Kimsingi haya mambo ya social media yanataka mtu mwenye uelewa wa mambo ya kidunia;
Kuna watu wazuri sana huko kwa social media hata huku JF pamoja na kuwa lipo kundi pia la watu malimbukeni wanafikiri kutokuonekana wazi wazi ndio nafasi ya kuposti kila uchafu wanaowazia....
Nachelea kusema huyo wa kwako hakuwa na exposure ya mambo ya mitandao; Pole!!!
 
Kwahyo jamaa kaogopa pisi yake italiwa kimasihara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwani boyfriend sio shemeji yenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜? anyways atakuwa alikuwa na lake jambo ,na kukosa exposure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ