Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 maana kwenye hii ID ndiyo umechachuka zaidi ya ile.Yaani angenikiuta na hii ID ya sa hivi ilivyohuru ndio angezimia😁😁
Roho inauma,wivu huna!Hii haiendi bila mwaliko, fanya mpango wa location nifanye kuja kuonja mapishi ya Mjukuu 🤗
========
Binafsi sioni shida kuwa na Mahusiano na mtumiaji wa JF, shida yangu ni ile mibebisho mnayofanyiana humu.
Yaani kama una roho nyepesi unaweza kukuta unampiga mtu Risasi bila kukusudia 🙌
Mwambie sisi ndio wale wale wa insta, twitter na jf. Tunabadilika kutokana na mazingiraKwa kweli alitafuta sababu sio siri🤣🤣🤣
Si ndio hivi mzaramo Leo nimekumbuka nimemleta kilingeni wazaramo wenzangu mshughulike nae🤣🤣🤣
Na ndyo sisi wa kitaa pia Akina mwajuma nchokonoeMwambie sisi ndio wale wale wa insta, twitter na jf. Tunabadilika kutokana na mazingira
Na kwa alivyo na gubu atakuwa Mpwayungu huyu 😂😂
Hii I'd Haina baya!inajiishia maisha ya ukweli.....🤣🤣 maana kwenye hii ID ndiyo umechachuka zaidi ya ile.
Wanawake wengi husema mwanamume anayemchunga mke mpenzi wake ni insecure na hajiamini ila kiukweli mwanamume anayempenda mpenzi wake huwa anapenda kujua mienendo ya mwanamke wake.
Tumeumbwa tuwalinde wapenzi wetu wasitoke nje ya himaya yetu, tupo hivyo.
Angalia hata wanyama dume wanavyokuwa makini na majike yao
Wana thread zao za watoto wamelala ni porno tupu mbwa wale.Weeee Twitter huko ndyo hapafai kabisa japo sina account ila naona bora jf kuliko twitter
Wakina Asha jibwa 🤣🤣🤣Na ndyo sisi wa kitaa pia Akina mwajuma nchokonoe
Kote tupo washindwe wao 🤣🤣🤣Wanaojichanganya 🤣🤣🤣🤣na ndio sie sie wa Kwa Kuhani Mussa na Kwa Mwamposa
Kwa umri wangu wa Uzee nilionao, nilihisi labda sitakuwa na Wivu kumbe nilikuwa najidanganya BwanaRoho inauma,wivu huna!
Hakika alikupenda na anajua humu jf sio mahali salama kivileHii I'd Haina baya!inajiishia maisha ya ukweli.....
Kwa hiyo unataka kusema alikuwa ananipenda sana si ndio?
nawe wa ajabu, huku jf id ni feki kisha mtu anakuuliza unakubali kuwa umo jf?😀Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..
Happy Maulid to all
Ulitaka ukampopoe mtu na gobole?Kwa umri wangu wa Uzee nilionao, nilihisi labda sitakuwa na Wivu kumbe nilikuwa najidanganya Bwana
Kuna siku nilishatoa Gobole langu kabisa ila baada ya kufikiri miaka 78 niliyonayo nikaona si busara kumalizia Uzee wangu Jela 🤪
Ila it real hurts 😪
naulivyo namitusi wewe singo mamá nihaki kuachwa.Wakaka wote wa JF Wana mipango bwana
Ndiyo, ila ni zamani kidogoUlitaka ukampopoe mtu na gobole?