JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Samaleko,

Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.

Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music, basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba, halafu tab nyingine nilifungua JF, sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako.

Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye, mimi Niko zangu napikapika, basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.

Baby una account Jamii forum? Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁 Eeeeeh bwana nilisimangwaaa, nilisomewa risala, niliambiwa sifai kabisa, mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.

Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF, JF, JF sipumui, mpaka safari ikaishia njiani.

Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣? Eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?

NB: Nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake, nikabadili zangu ID chaaaa.

Happy Maulid to all.
Cc Miss Natafuta
 
Unaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀
😂😂😂Watu majibu yenye mfano wa kinyesi kigumu kinachonatoka kwa mafungu Uzi huo unakuaje mrefu kiasi hiko
 
Unaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀
Hahaha............kukuta habari za Mzee kama mimi mwenye miaka 78 humu haitakuwa vizuri, itabidi Wajukuu wajifunze kuwa na Vifua vya kutunza mambo Otherwise mtatuua kwa Presha 🤪
 
Bila unafiki na bila kupepesa macho na kwa experience yangu ndogo Kwa upande wake naona anaweza kuwa alikua sahihi au hakuwa sahihi kwa sababu zake anazozijua yeye!

Jf kwa drama za mapenzi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️


NB; Sijasema msiwe na mahusiano humu!
Sisi ndio walewale wa Kwa mwamposa,misikitini na hata makazini...sa itakuwaje?
 
😁😁😁Lakini bado unamkumbuka mpaka unamuanzishia uzi? JF ni sehemu nzuri sana Miss Desperado
Kumkumbuka sio kwamba ndio nampenda bwana....nampenda bby wangu despr🤣🤣
 
Back
Top Bottom