makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Chizi huyo, hapo kakuta una akaunti JF angekukuta upo tinder huko si angeruka kimasai.😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina Siri,Sasa watatunza Siri gani🤣Labda Mod wakutunzie siri tu 🤣🤣🤣🤣
Ukiachwa umeachwa.😂😂😂😂Dunia simama mie nishuke ukirudi nipitie
😂😂😂We nae acha gubuUkiachwa umeachwa.
Anarudi wapi?Atarudi, nasema hivi atarudi tena...halafu..halafu😁😁😁😁🤣
😂😂😂😂Umeanza kutuvuruga ubongo sasa swala la jack kufa kwenye meli iliyo zama na CCM mbele kwa mbele vinaingiliana vp huu sini muhaho jmnAnarudi wapi?
Hivi ulishawahi kuangalia Titanic zaidi ya mara Moja?Hamna kinachobadilika meli lazima izame,Jack lazima afe,na rose abaki mpweke!achana na mambo ya Ex,we piga CCM mbere Kwa mbere in Magufuli voice 🤣
🥱🥱
Nani ajitolee tuanzie masham sham ya kibongo😄♀️Ukiachwa umeachwa.
😎📥Wacha kwanza nisomeWe bado yanki Huwezi kuelewa lugha zetu malegendary tuko duniani tangu nduli Idd Amini hajafurushwa na Nyerere...hiyo comment ataelewa ERoni
Joannah ninajambo lako tukutane 📥Tuliza kichwa hicho.
😄😄Wakazaji wote ufalme wa Mungu watauonaPole sana mkuu labda alopitaga kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Inaonekana Mr alikua mchangiaji pale akaamua ajiwahi mapema😄😄Wakazaji wote ufamlw wa Mungu watauona
😂😂😂😂Yote ayo kunachanzo hakuna kitu kinatokeaga bureInaonekana Mr alikua mchangiaji pale akaamua ajiwahi mapema