Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbn Maelezo yamejitosherezaLipi tena kijana?
😂😂😂🌊Wimbi la mvuruganoNikikuta app ya badoo au tinder kwenye simu sweetheart hilo dogo,bt nikikuta ana jf?I will start drama throwing things and stuffs,.swali la kwanza mzabzab unamjua??..namuacha
Tatizo ww utakua chuma uleteAu alichoka kunipa Hela?akaamua kutunza kibunda chake?
Duh mnachuma mpk mtu unabaki huelew kwakwer hii tafuta kwa jasho inageuka kua josho la ng'ombeNampa chachu ya maendeleo 😁😁😁
Mwenyew naona anakwepa kwepa viunzi tu apaKabisa mkuu inabidi Joannah ulizwe vizuri
Hatari Mkuu, na hivi tumezeeka Sukari na Presha haichelewi kutubeba 🤪😂😂😂🥱
Ikikubeba mzee unapumulia vyumaHatari Mkuu, na hivi tumezeeka Sukari na Presha haichelewi kutubeba 🤪
Watu wanatengeneza mazingira ili baada ya 3yrs uwe na siri mkuu🤣🤣Sina Siri,Sasa watatunza Siri gani🤣
Kabisa Mkuu, bora kuwaachia nyie vijana hizi hekaheka 🤪Ikikubeba mzee unapumulia vyuma
Nipo hapa nasikilizia tu, yaani kashajua na ID mpya, yangu macho..atarudisha majeshi na kazi itakuwa moja tu🤣🤣Anarudi wapi?
Hivi ulishawahi kuangalia Titanic zaidi ya mara Moja?Hamna kinachobadilika meli lazima izame,Jack lazima afe,na rose abaki mpweke!achana na mambo ya Ex,we piga CCM mbere Kwa mbere in Magufuli voice 🤣
😂😂😂😂Weee kibokoWatu wanatengeneza mazingira ili baada ya 3yrs uwe na siri mkuu🤣🤣
😂😂😂 Hivi ule upepo wa kisuri Suri we ulikupita mbaliKabisa Mkuu, bora kuwaachia nyie vijana hizi hekaheka 🤪
😂😂😂Kwani atajioa nakujipa utamu yeye naona wadhungu wazidi kutuharibu mbogo zetu kuwaletea mashine ya kufanya mapenzi inamaana tulizo nazo zitakua na kazi ganiYe Dadamtu akae kwa utulivu, otherwise afunge pm yake, asitake tumfahamu🤣🤣