JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

😂😂😂 Hivi ule upepo wa kisuri Suri we ulikupita mbali
Upepo wa Kisuri suri ilikuwa ni kwa Mabinti na Wanawake, Sisi Wanaume ilikuwa ni suala la kuongeza Wake.

Bahati Mbaya Dini yetu inatutaka tuwe na Mke Mmoja hivyo tulibaki kama ndugu watazamaji katika Imani 😁
 
😂😂😂😂🥺Kwer kipindi kile mlikua kina mtoto Iddy wazee wakuzua balaa sasa wakati wa selemani
 
Samaleko,

Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.

Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music, basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba, halafu tab nyingine nilifungua JF, sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako.

Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye, mimi Niko zangu napikapika, basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.

Baby una account Jamii forum? Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁 Eeeeeh bwana nilisimangwaaa, nilisomewa risala, niliambiwa sifai kabisa, mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.

Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF, JF, JF sipumui, mpaka safari ikaishia njiani.

Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣? Eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?

NB: Nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake, nikabadili zangu ID chaaaa.

Happy Maulid to all.
Kwanza mimi binafsi napenda mdada awe mjanja... Hao wasikutishe, ukiona mtu anahukumu kitu hasichokuwa na uhakika nacho huyo ni mshamba... Sasa JF si ni kama Twitter tu
 
JF bana kiukwel tangu nlpoanza kuifatilia nmebadilika kdg nmekuwa mtu nnae jiamn sana afu mbishi na sasa nmefankiwa kujiunga rasmi , na nikiona mtu yupo humu bas moja kwa moja huyo atakuwa anajua vtu vng afu ni mjuaje kiree
 
Kwanza mimi binafsi napenda mdada awe mjanja... Hao wasikutishe, ukiona mtu anahukumu kitu hasichokuwa na uhakika nacho huyo ni mshamba... Sasa JF si ni kama Twitter tu
Kwer kabisa mkuu imevurugwa saiv
 
JF bana kiukwel tangu nlpoanza kuifatilia nmebadilika kdg nmekuwa mtu nnae jiamn sana afu mbishi na sasa nmefankiwa kujiunga rasmi , na nikiona mtu yupo humu bas moja kwa moja huyo atakuwa anajua vtu vng afu ni mjuaje kiree
😂😂😂😂Yemwamba kumbe twabhaye kumwe tulisongeshe
 
Back
Top Bottom