JF imekusaidia nini tangu uijue?

JF imekusaidia nini tangu uijue?

Binafsi nashukuru uongozi mzima wa JF na members wote wa Jf .nimejifunza mengi sana toka kwenu!
 
JF kwangu ni zaidi ya rafiki,kisima cha maarifa sehemu ya kupunguza stress.

Elon musk,Jr
 
2015 Mara ya kwanza kusoma nlikuwa Frankfurt kwenye cm ya baba na k2 chakwanza kusoma ni story ya before I dia aliweka lagy cjui jamaa kapotea wap? MKUU HESHIMA KWAKO 🙏🙏
 
imenifanya nikajua mimi hapa mkenya tu.......nilijiunga na Jamii Forums ili nijifunze tu kiswahili......nakienzi sana
 
Huku nimepata products nyingi sana

12 years now but am still a ghost, sitaki kujuana na mtu
 
Back
Top Bottom