kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
[emoji7][emoji7][emoji7]Hapo ni mbele, cjageuka nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7][emoji7][emoji7]Hapo ni mbele, cjageuka nyuma
Kabisaaa sasa hv asilimia kubwa wengi ni wakolofi zaman ukiuliza kitu, utasaidiwa mpaka unapewa connection lakin sasa hv ukipewa connection ujue umeibiwa hahahaJF ni Jamii Forum. Ni Jukwaa la Jamii.
Mada za siasa, uchumi, kijamii na kisayansi zimenijenga kifikra.
Jamii Forum ni kisima Cha fikra. Imenijenga kifikra na kimawazo.
Nimeifahamu Jamii Forum mwaka 2010 wakati ninakaribia kujiunga chuo, na ni wakati ule siasa zimepamba moto JK anatafuta muhula wa pili.
Kimsingi, purukushani za kisiasa za akina Makamba Yusuf, Nappe na wengineo walinifanya kutafuta maarifa zaidi na niliyapata Jamii Forum maana katika mijadala ile, hao wanasiasa waliihusisha Jamii Forum kwamba Kuna watu wanatoa Siri za chama JamiiForum, kwa hiyo pia nikawa na kiu kujua Jamii Forum Ni kitu gani.
Humu nilikutana na watu wenye weledi kifikra Kama vile Kiranga, king kong, miss chaga, @lara1, The bold, Nifah, Everlyn salt, Kongosho, Ben Saanane (RIP), @nappe nnauye, Mshana Jr ASHA dii na wengineo ambao walichambua mambo kwa kina na kuifanya Jamii Forum iheshimike hapa Tanzania na hata nje ya mipaka.
Pongezi kwenu @jamiiforum, Mhariri, na haswa Mello, M kwa kazi nzuri ya kukutanisha Watanzania katika jukwaa moja la mijadala huru.
Kazi kubwa iliyopo Sasa ni kuilinda heshima ya Jamii Forum japo irudi ilipokuwa mwaka 2013 maana humu wachangiaji wenye ueledi na staha wanapungua sana.
Na kweli ila wazamiaji hawatakosekana tu, maana kwenye magroup ya akina mama na akina baba pia wamo so mambo yamebadilika sna mkuuTunaomba JF ituanzishie mini forum ya Boys Boys na Ladies Ladies
Nina maana yangu mniulize
Hapana, Mshana Jr is a good bro hajawahi nisimanga popote.! Wapo tu, wana majibu yao makavuuu.!![SUB] 😀 [/SUB]
[emoji23][emoji23]wazamiajiNa kweli ila wazamiaji hawatakosekana tu, maana kwenye magroup ya akina mama na akina baba pia wamo so mambo yamebadilika sna mkuu
Imenisaidia mengi,Ila kikubwa ilinisaidia sana,
Wakati ambao nilihitaji watu kuliko kitu chochote.
Wakati ambao nilihitaji watu wa kuwashirikisha ninachopitia.
Wakati ambao nilihitaji watu wa kunisikiliza (kunisoma).
Wakati ambao nilihitaji watu wa kuelewa ninachopitia.
Wakati ambao nilihitaji watu wa kunifariji.
Wakati ambao nilihitaji watu wa kuniambia hili litapita.
Hamna namna ambayo naweza kuelezea ikaleta maana.
Huu ulikuwa ni wakati mgumu sana, na ni wakati ambao umenifanya nione members wa huku ni watu wazuri, hata kama tutapishana kwenye mambo tofauti lakini wana utu na vitu vizuri sana ndani yao, mengine ni udhaifu wa kibinadamu.
You got that right BAK.Nadhani hii inahusu wakati ule unamuuguza mama aliyekuwa akisumbuliwa na cancer, kama sikosei, hadi kufariki kwake. Nakumbuka kuusoma ule uzi hapa jamvini.
Kabisaaa sasa hv asilimia kubwa wengi ni wakolofi zaman ukiuliza kitu, utasaidiwa mpaka unapewa connection lakin sasa hv ukipewa connection ujue umeibiwa hahaha
Ben Saanane amefariki kwani?