grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Mh! Hii ngeli au?After think too much...i know i can got the answer....to finished the issue face me
Ndio jina lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anafosi kujamba matokeo yake anaharaI’m depression ndio nn sasa?!
[emoji23][emoji23]
Duuh, kweli hii lugha ilikuja na meli[emoji3]After think too much...i know i can got the answer....to finished the issue face me
Haaa haaa lugha iliyokuja na meli bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You're depression? Pole mwaya. Kweli Una depression. Sasa si utoke kwenye mtandao kwa muda mkuu?
Sio lugha rafiki. Anaipenda sema lugha yenyewe imemkataaHaaa haaa lugha iliyokuja na meli bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ajaribu"""" wenyewe wanasema praktisi mekisi pafekiti[emoji870][emoji870]Sio lugha rafiki. Anaipenda sema lugha yenyewe imemkataa
Imani yangu juu yako ni kwamba unajifunza hiyo lugha, ukiongeza juhudi utafika mbali. Kwa hiyo, usichoke. Nina imani utakuwa bora zaidi siku nyengine nikiuona Uzi wako mwengine.BECAUSE OF YOU, I LAUGH A LITTLE HARDER,CRY A LITTLE LESS,AND SMILE A LOT MORE.
I''M DEPRESSED PLEASE DON'T INSULT ME.
Hebu mtake radhi Mtemi Deogratius Nalimi Kisandu. Pamoja na dishi lake kuyumba bado anaandika kiswahili fasaha na kimenyooka kweli kweli!Daaah huyu asije kuwa ni deo kisandu ana tumia acc nyingine
Ha ha ha ha kwamba deo kisandu ndo SI- unit ya upumbavuDaaah huyu asije kuwa ni deo kisandu ana tumia acc nyingine
hahahaHa ha ha ha kwamba deo kisandu ndo SI- unit ya upumbavu
hahaa kwa hiyo nisimfananishe deo kisandu na vitu vya kijinga sindio !!?Hebu mtake radhi Mtemi Deogratius Nalimi Kisandu. Pamoja na dishi lake kuyumba bado anaandika kiswahili fasaha na kimenyooka kweli kweli!
Huyu jamaa hajui kiingereza na akiandika kiswahili bado ni upuuzi mtupu!
Mimi nimemshauri akomae na shule aachane na haya mengine asiyoyaweza, akue kwanza!
Once again, do not confuse his majesty Deogratius Kisandu with this little guy, for heaven's sake!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]