JF ina Majungu jamani: Kupitia Post yangu ya roho inaniuma ila no way out nimejifunza haya

JF ina Majungu jamani: Kupitia Post yangu ya roho inaniuma ila no way out nimejifunza haya

Dah ilibidi nikachimbue makaburi kujiridhisha....huu ni mtambo a.k.a Dish asee.
 
BECAUSE OF YOU, I LAUGH A LITTLE HARDER,CRY A LITTLE LESS,AND SMILE A LOT MORE.

I''M DEPRESSED PLEASE DON'T INSULT ME.
Imani yangu juu yako ni kwamba unajifunza hiyo lugha, ukiongeza juhudi utafika mbali. Kwa hiyo, usichoke. Nina imani utakuwa bora zaidi siku nyengine nikiuona Uzi wako mwengine.
 
Huku jf kuna watu wamevurugwa wengi tu so jambo likikushinda na ukaamua kulileta huku ili upate ushauri we jiandae tu kupata ushauri,matusi ,kebehi,dharau n.k.....
 
Daaah huyu asije kuwa ni deo kisandu ana tumia acc nyingine
Hebu mtake radhi Mtemi Deogratius Nalimi Kisandu. Pamoja na dishi lake kuyumba bado anaandika kiswahili fasaha na kimenyooka kweli kweli!

Huyu jamaa hajui kiingereza na akiandika kiswahili bado ni upuuzi mtupu!

Mimi nimemshauri akomae na shule aachane na haya mengine asiyoyaweza, akue kwanza!

Once again, do not confuse his majesty Deogratius Kisandu with this little guy, for heaven's sake!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
hahaa kwa hiyo nisimfananishe deo kisandu na vitu vya kijinga sindio !!?
 
Back
Top Bottom