Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!

Hivi leo unaingia night nije kukusaidia kupika hapo getho
Jisalimishe kwenye kamati ya maadili, la sivyo nitakuburuza kwa pingu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nataka nije geto tupike kupunguza bajeti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Twende tukale Biriani huku mjini, tukisaza utachukua za bando
 
Hahahhahahahahha alafu unanisingizia mm mwenyewe mtoa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo shida ni nini Demiss? Halafu code yenyewe uliyoitoa huku nyanda za juu kusini inasoma ni wewe Demiss na yule mchawi M. Karibu nyanda za juu kusini,hususani GREEN CITY
 
Wadau hivi "chiii" maana yake nini, nimeshindwa kumaliza kusoma na kuelewa kilichoandikwa na uandishi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…