Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!

Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!

Nakufa mm jaman hebu nitumie vocha kwanza Jaman Mwifwa jaman[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Bado nipo kitandani hapa, nashindwa kufikia hitimisho la kupata sehemu ya kwenda kufuja haya mafweza, ebu njoo chapu uje uchague sehemu unayoitaka tukafanye mawandazi
View attachment 1075411
 
Dah...nukta zinazidi kujiunga tu...Wana malenga tunaelewa .....maisha ni bafu...[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]

Cc: Profesa Mike June Romeo
 
Nakufa mm jaman hebu nitumie vocha kwanza Jaman Mwifwa jaman[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Twende tukale Biriani huku mjini, tukisaza utachukua za bando
 
Sipendagi vitu vigumu mim@Demiss wew [emoji42]
Wanakamatiiii Jaman jaman Jf kumbe nzito kiasi hiki poooh mmenishinda kwa kweli yani nimewashiba agagaaa!

Nasikia yule member maarufu ako na I'd yenye kutamka kwa uzito kama jiwe la kg 125 .
Na nyie vichwa vyenu vizito kama nini si yule ambaye I'd yake unaitamka kisukuma jaman yani lazima uitamke kisukuma[emoji4][emoji4]

Yani wanakamati wagumu nyiee[emoji28]
Bwana bwana nasikia alikwea pipa la Auric huyoo mpaka nyanda za juu kusini kwenye 5 star hotel na yule bi mwafundenge. Chiii mnachosha jaman kuandika aggggr [emoji39][emoji39][emoji39]

Yule member maarufu anakaa makao makuu nasikia na yeye alikwea basi akapita milima yotee ya Nyanda za juu kusini kwenda kula bata na huyuu mzee wa Kukandamiza hivi bado hamjamjua tu mbna maarufu sana tu humuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasikia wamekaa week nzima wakila bata jaman kweli Jf kichaka cha kizaaa [emoji23][emoji23]Mambo mengi muda mchachee.

Wanakamati bi mwafundenge nasikia ni x wa mganga maarufu Jf chiiii sitak kesi mimi agggggr msinichoshe tusichoshaneee tatizo mavichwa yenu magumu kanyweni supu ya samaki huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawakujua kama wambea tupo kazini bhn si tukaona tu status tsap zinasoma location mojaaa chiiii tukawanyapia nyapiaaa bhn bhna hata tiket zao zimesoma tarehe mojaa aaaag.

Wanajf mtabaki kuwa juuu mawinguniiiiii.

Nyongeza: Demiss siwezi kubaki na umbeya jaman kifua kitapasuka.

Location: Kiomboi Singida.
 
[emoji23][emoji28] hahahaa kwa Leo nimekufa pamoja na Kristo labda jumatatu nikifufuka mtanikuta galilaya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sawa sawa ngoja tuvute subira maana hatuwezi kukuvumilia kabisa kwa kitendo hicho
 
Hahahahaha unganisha zotee
Dah...nukta zinazidi kujiunga tu...Wana malenga tunaelewa .....maisha ni bafu...[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]

Cc: Profesa Mike June Romeo
 
Back
Top Bottom