JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!!umenikumbusha muda we kipindi cha dini Mimi na wenzangu hatuendi akija matron tunajificha uvungu wa vitanda kimyaaa bas anasimama kisha anaondoka maana kuinama hawezi yule mama !!!!akitoka vichekooo kama vyote!jamani kaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weeee hapana kwa kweli!!!mi nshakaa sana chooni au uvungu wa kitanda kimyaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama sabrina umetisha kwa habari hizo za kufungiwa kwenye locker wakati wa prepo.

Ila maisha ya boarding yana raha yake.
Kuna muda ukijiuliza sababu ya yote haupati jibu kamili

Niliwahi kujificha uvunguni bahati mbaya miguu ikaonekana, kwa ujeuri nikachomoka nikakimbia, walinzi wakaunga kunikimbiza,
Nikakimbilia toi mlinzi huyu hapa, nikapiga kelele ananibaka ananibaka,
Mlinzi akaanza kurudi nyuma na mimi huyo nikazama Kwenye vichaka nikatokomea nje ya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…