Eehhh!! mama mchungaji tena nimemuweka yaani yeye ndo mambo yake hayoo!mama mchungaji!Jamani huu Uzi, Mbavu zangu Mweeh hapo kwa Evelyn Salt [emoji23]
Halafu umesahau kuongeza hapo kwa T ake
Heaven Sent
Pamoja na Usongolist, angekuwa pia anatuongoza Fellowship.. [emoji85]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]hawa wapiga kelele wangekua kina Numbisaaa!!na wenziwe wa jukwaa la likes na comments maana mda wote wako kwenye motion!!Ita waliosoma Mkwawa High School waje waongezee uzoefu wa boarding school......
Hongera kwa ulichokiwaza, ila hujatuambia wadokozi wa vitu vya wenzao na wapiga kelele darasani na bwenini wangekuwa akina nani?[emoji12]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]yaani wewe mmekupatia kabisaa maana swaga zako sio za nchi hii yaani wewe ingekua na ushikaj na kina gudume!!Ningekua nna kampani ya vidume, mida flani tunazama chimbo kusmoke, darasani nakaa mwisho kabisa sijibu swali hata siku moja make kichwani empty,kadaftari kamoja tu hako hako masomo yote
Umeon eeeeh!!full burdaaan!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!tungeinjoi balaaa!!!maana unavyopenda starehe tungekula bata kama zotee eeeeh!Mimi kiranja wa social. Yani starehe kama zotee.
Hamna sio wizi ni kujiongeza tuMwidhiiii!!!!weweewee kumbeee!!!yamakagashii
Wewee!!!mmekusahau [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji11]wewe ujue ungekua mzee wa kusawazisha mambo kila upande upoooo!!yaani uko peace na kila mtu!!Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.
Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My god....Mimi nilikuwa bingwa wa kuanua mashati ya watu kwenye kamba ...Sikuwa na muda wa kufua shati jeupe la shule
Pia ningekuwa Pusha