JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Ita waliosoma Mkwawa High School waje waongezee uzoefu wa boarding school......

Hongera kwa ulichokiwaza, ila hujatuambia wadokozi wa vitu vya wenzao na wapiga kelele darasani na bwenini wangekuwa akina nani?[emoji12]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]hawa wapiga kelele wangekua kina Numbisaaa!!na wenziwe wa jukwaa la likes na comments maana mda wote wako kwenye motion!!
 
Ningekua nna kampani ya vidume, mida flani tunazama chimbo kusmoke, darasani nakaa mwisho kabisa sijibu swali hata siku moja make kichwani empty,kadaftari kamoja tu hako hako masomo yote
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]yaani wewe mmekupatia kabisaa maana swaga zako sio za nchi hii yaani wewe ingekua na ushikaj na kina gudume!!
 
Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.

Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewee!!!mmekusahau [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji11]wewe ujue ungekua mzee wa kusawazisha mambo kila upande upoooo!!yaani uko peace na kila mtu!!
 
Back
Top Bottom