Ningefeli angenioa mfyuuu zake!!!Mngebemendana halafu muda wa prepo!!!sasa full kusoma pamojaa!!!kula pamoja na mambo yoteee!!!!
Haya maisha yanatakiwa kujiongeza kwenye vingi vingenevyo utafeli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo zakooo!!!
Mie nimesoma kijijini hamna ukuta tunakulana humo humo tu.Sanaaaaa!!yaani acha tuu!!waruka ukuta[emoji3][emoji4][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu unauchuna kimyaaa kama sio wewee!!!vile yaani wavivu wako radhi wakojoe kwenye kopo badala ya chooni!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji3]Haya maisha yanatakiwa kujiongeza kwenye vingi vingenevyo utafeli
Nina hulka fulani ya uvivu ...na ukitaka mambo yako yaende mtafute mvivu akufanyie ,yeye atatafuta shortcut tu ..ndiyo hivyo badala ya kufua naanua tu vilivyo kauka teh
Enheee!umepatia kabisaa yaani!tena heaven sent wangemkoma ukienda pale kila mtu anamuogopa maana si kwa neno hiloo atakalowapatiaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]hao hapo wao ni wakujimix kila konaaa!!ila huyi mbalizi angekua anapenda videmu vya kiswazi balaaa!Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Uwiiiiiiiiiii!!! Sipati picha.Hahaaaahaaa!!!unapata mimba na shule baaasiii!!!tenaaa!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani hapo ndio kama hauna 'kapo' ndio siku ya kuopolewa, usipoopolewa hapo ndio basi tena.Hahaaa!disko welcome form one basi hapo mnamaliza mambo yote!!!
Hahaaaaa. Umemuonaeee namuaminia Aunt na alivyo Serious mbona angewakomesha.Enheee!umepatia kabisaa yaani!tena heaven sent wangemkoma ukienda pale kila mtu anamuogopa maana si kwa neno hiloo atakalowapatiaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]hao hapo wao ni wakujimix kila konaaa!!ila huyi mbalizi angekua anapenda videmu vya kiswazi balaaa!
WAZEE CHAPUTA KAWASAHAU!! 😀😀Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.
Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nilikuwa bingwa wa kuanua mashati ya watu kwenye kamba ...Sikuwa na muda wa kufua shati jeupe la shule
Pia ningekuwa Pusha