JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent 🙈🙈 na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.

Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo zakooo!!!
Haya maisha yanatakiwa kujiongeza kwenye vingi vingenevyo utafeli
Nina hulka fulani ya uvivu ...na ukitaka mambo yako yaende mtafute mvivu akufanyie ,yeye atatafuta shortcut tu ..ndiyo hivyo badala ya kufua naanua tu vilivyo kauka teh
 
Halafu unauchuna kimyaaa kama sio wewee!!!vile yaani wavivu wako radhi wakojoe kwenye kopo badala ya chooni!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji3]
 
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.

Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Enheee!umepatia kabisaa yaani!tena heaven sent wangemkoma ukienda pale kila mtu anamuogopa maana si kwa neno hiloo atakalowapatiaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]hao hapo wao ni wakujimix kila konaaa!!ila huyi mbalizi angekua anapenda videmu vya kiswazi balaaa!
 
Hahaaaaa. Umemuonaeee namuaminia Aunt na alivyo Serious mbona angewakomesha.

Huyo Mbalizi haeleweki ujue hao wa kishua pia angewaimbisha tu si wajua tena maisha ya shule angeweza wapa hata pocket money yake ilimradi tu aweke heshima kwenye Shule ya JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom