JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

umenikumbusha mbali wakati wa exam, tulikua tuna hamshana usiku ili tusome,basi mie nawaambia kabisa Rafiki zangu niamshe saa flani nisome,wakija kuniamsha hio saa nawaambia niamshe baada ya lisaa limoja,akija tena namwambia tena niamshe baada ya lisaa limoja,usiku mzima unakua ndio mchezo huo,asubuhi inafika sijasoma hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
MI hujakosea hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ole wako uniseme nikusikie hehehe
Na group langu tukiishiwa pesaa na sukari tunatekenye makufuli ya kabati mpaka yanafunguka tunaiba sukari na aziwa
 
Uwiiiiiiiiiii!!! Sipati picha.
[emoji52][emoji58][emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatangazwa assembly pale unafukuzwaa shule[emoji52]tunaanza kukuweke vigenge!
 
Yaani hapo ndio kama hauna 'kapo' ndio siku ya kuopolewa, usipoopolewa hapo ndio basi tena.
Sana tu asikuambie mtu yaani lazima update mchuchu na siku hyo wale mashekh na wachungaji vipindi vya dini kabla ya disco kwanza wanaanza kuhubiri neno!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajar mbalizi alivyo bahilii angekua anawaogopa wa kishua huyuu!!maana pocket money yenyewe mawazo!
 
Kungekuwa na wasongo wale wako serious wao no mademu yaani....!!!hawa ni kina ushimen,ccnp engineer Da'Vinci,castr na wengine wengi wao ni wazee wa kusomea vijiji wao no story na mademu busy tu na kitabu!wawe maTO!
Hahaaaaa hapo umeongopa Ray mm na mabinti dam dam yani Makapuku forum wananijua vizuri nikisema niwapange hapa nitakesha...
Niliwahi hama mkondo kutoka A kwenda B coz A lilikua darasa la sayansi bi la Art hivyo lilikua lina wasichana 6 tu. Nilikua nashinda zangu B na mabeibeee
 
Hahaaa!mi nilikua nkiamka kwenda chooni nawaambia wasongo ole wao wautumie mchana kua usikuu!!halafu napitaaa...narudi kulala!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MI hujakosea hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ole wako uniseme nikusikie hehehe
Na group langu tukiishiwa pesaa na sukari tunatekenye makufuli ya kabati mpaka yanafunguka tunaiba sukari na aziwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewee unaonekanaa!!!kabisaa na hao wenzio hapo!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu wewee!!ni mgumu by nature!!!!!unahama darasa kisaa mademu wee mkaree!!!
 
Ray umesahau na waangusha minazi na miarobaini usiku,siku moja nipo na mnazi wangu kanikamatilia mara mlinzi tulitoka mbio tukayavuta matisheti vichwani mi nakimbilia girls ye anakimbilia boys ,nilitetemeka jamanii sikurudiaa tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…