Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
umenikumbusha mbali wakati wa exam, tulikua tuna hamshana usiku ili tusome,basi mie nawaambia kabisa Rafiki zangu niamshe saa flani nisome,wakija kuniamsha hio saa nawaambia niamshe baada ya lisaa limoja,akija tena namwambia tena niamshe baada ya lisaa limoja,usiku mzima unakua ndio mchezo huo,asubuhi inafika sijasoma hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa