Umenikumbusha a way back huko O level nilikuwa nakunywa uji balaa....Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.
Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nilisoma shule ya Free pentecoste church Igunga huko asubuhi lazima muingie kusali ndio muende darasani,ikifika jioni tena kusali mnaenda prepo,sasa kiongozi wetu wa tamsa akiwa mle assembly hall anatuona sie tunacheza kwaya pamoja na walokole alikuwa anatumaindi vibayaa,basi kuna muda walikuwaga wanakuja wachungaji tofauti tofauti kina Marehem Moses kulola,basi akija ni shangwe mtacheza disco la Yesu mpaka basi ,basi Kiongozi wa Tamsa aliongea mpaka akachoka anatuambia ni dhambi mnataka muwe makafiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa Casfeta,Tycs,Ukwata,Tamsa na adventist [emoji23] [emoji23] full nenoo!
Hatuwapendagi nyieee
Sie shule ilikuwa porin center yenyewe hakuna disco wala nini kijijiniiKama vile nawaona wale wa kuruka ukuta kwenda Disco, wakiongozwa na mtoa uzi
Hahha locker langu wazee wa kazi wamelitombesha sana ilikuwa hatari nimeibiwa sana maandazi..... dagaa plus mafuta ya kukaangaMI hujakosea hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ole wako uniseme nikusikie hehehe
Na group langu tukiishiwa pesaa na sukari tunatekenye makufuli ya kabati mpaka yanafunguka tunaiba sukari na aziwa
Nimeiba sana sukari,halaf mi nilikuwa nikipewa pesa ya matumizi inaisha haraka kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahha locker langu wazee wa kazi wamelitombesha sana ilikuwa hatari nimeibiwa sana maandazi..... dagaa plus mafuta ya kukaanga
BabeSipend kuigiza ukiniita baby humu mwisho natamani kukugegeda so naamua kuyapotezea.
Sekta ya jikoni nilikuwa naitendea haki kabisa, lazima nilikuwa nishibe tuWewee!!!mmekusahau [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji11]wewe ujue ungekua mzee wa kusawazisha mambo kila upande upoooo!!yaani uko peace na kila mtu!!
Basi ulikuwa na good life aisee .....Nimeiba sana sukari,halaf mi nilikuwa nikipewa pesa ya matumizi inaisha haraka kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]WAZEE CHAPUTA KAWASAHAU!! 😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sana tu asikuambie mtu yaani lazima update mchuchu na siku hyo wale mashekh na wachungaji vipindi vya dini kabla ya disco kwanza wanaanza kuhubiri neno!
usiwe hivyo hii ni chit chat mkuu " kuna watu humu wanaakili mpaka Harvard wanaona " wivu but huamua kujishusha kwakuja chit chat kwaminajili yakupoteza/ kujifariji na maishahopeless mind