JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Wallah nmecheka sana maana nmekumbuka topic za forex na hao walimu wake ni sawaa na physics and Math mwanzo mwisho unakuwa unatafuta gepu la kusinzia tu
 
Wazee wa Casfeta,Tycs,Ukwata,Tamsa na adventist [emoji23] [emoji23] full nenoo!

Hatuwapendagi nyieee
Mi nilisoma shule ya Free pentecoste church Igunga huko asubuhi lazima muingie kusali ndio muende darasani,ikifika jioni tena kusali mnaenda prepo,sasa kiongozi wetu wa tamsa akiwa mle assembly hall anatuona sie tunacheza kwaya pamoja na walokole alikuwa anatumaindi vibayaa,basi kuna muda walikuwaga wanakuja wachungaji tofauti tofauti kina Marehem Moses kulola,basi akija ni shangwe mtacheza disco la Yesu mpaka basi ,basi Kiongozi wa Tamsa aliongea mpaka akachoka anatuambia ni dhambi mnataka muwe makafiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ubaya wake sasa kukiwa na graduation ni mwisho saa 12 na ni kwaya mwanzo mwisho hapo tu ndio nilikuwa naudhikaje
 
MI hujakosea hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ole wako uniseme nikusikie hehehe
Na group langu tukiishiwa pesaa na sukari tunatekenye makufuli ya kabati mpaka yanafunguka tunaiba sukari na aziwa
Hahha locker langu wazee wa kazi wamelitombesha sana ilikuwa hatari nimeibiwa sana maandazi..... dagaa plus mafuta ya kukaanga
 
Wewee!!!mmekusahau [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji11]wewe ujue ungekua mzee wa kusawazisha mambo kila upande upoooo!!yaani uko peace na kila mtu!!
Sekta ya jikoni nilikuwa naitendea haki kabisa, lazima nilikuwa nishibe tu
 
Nimeiba sana sukari,halaf mi nilikuwa nikipewa pesa ya matumizi inaisha haraka kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ulikuwa na good life aisee .....

Ila kuna kipindi katikati ya term mazagazaga yote yanaadimika....

Kipindi hiki kikifika ni mwendo wa kuiba top layer [emoji12] [emoji12] sijui kwa shule za galz nao huu mtindo ulikuwepo?
 
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.

Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom