Niambie dear
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ningekua ... Mtu wa kuunganishia watu mademu hafu nabaki na sabun wtf
Hahahahaha naomba liwepo kundi la watia fujo sugu ...vizibo visivyoelewa kabisaaa ndo niwepo hapoWe nimekusahau!!wapiii!!!
hahahaa" aisee ..Ontario angefaa kuwa mwizi ... Wa shule .. Hii
Mzoee tu ni yule yule mmoja tu. Mm nampenda shunie wa makapukuYaan huwa nampenda mondray wa jamii intelligence mwenye maakili makubwa sio mondray wa mmu au chit chat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu tulikuwa tunatumia vindoo vidogo vile vya sabuni za unga [VISADO" au makopo yale ya peanut butter tulikuwa tunayaita "BANGALA"....
Yaani ukimaliza uji hapo vipindi vyote vinavyofuata hapo baada ya breaktime ni usingizi wa kufa mtu aisee....
Na alipokamatwa akaamua kujifukuzisha shule mwenyewe bila shuruti kuogopa kichapo cha wanafunzi wenye hasira kali wakiongozwa na humble african ...kiranja wa usafihahahaa" aisee ..
Mzoee tu ni yule yule mmoja tu. Mm nampenda shunie wa makapuku
Nshawah paliwa na uji kwa huu mchezo ... NililazwaUnawahi kwenye foleni unahakikisha upo top ten, ukipata share ya kwanza unapiga kwa dakika 5 unaenda kuosha sahani unapanga mstari tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nshawah paliwa na uji kwa huu mchezo ... Nililazwa
Kastaarabu hataree hua kanatuporomoshea maombi. I wish ningekua napesa mingi nimpate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wa makapuku kabinti kastaarabu eenh
Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye ubora wakoNshawah paliwa na uji kwa huu mchezo ... Nililazwa
Mkuu nadhan wewe ulkua unaingia na vibomu kwenye pepa .... Hadi tukakupachika jina la " higly trained terroristKwenye ubora wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
Jamani huu Uzi, Mbavu zangu Mweeh hapo kwa Evelyn Salt [emoji23]
Halafu umesahau kuongeza hapo kwa T ake
Heaven Sent
Pamoja na Usongolist, angekuwa pia anatuongoza Fellowship.. [emoji85]
Eehhh!! mama mchungaji tena nimemuweka yaani yeye ndo mambo yake hayoo!mama mchungaji!
U-asha kisomo nilikuwa si haba tehUuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Enheee!umepatia kabisaa yaani!tena heaven sent wangemkoma ukienda pale kila mtu anamuogopa maana si kwa neno hiloo atakalowapatiaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]hao hapo wao ni wakujimix kila konaaa!!ila huyi mbalizi angekua anapenda videmu vya kiswazi balaaa!
Kuna jamaa tulikua tunamwita higly trained terrorist ... Alkua anaingia na vibomu mpaka necta akawalipua ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Vituko vya shuleni ni vingi sana aisee