JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Watu tulikuwa tunatumia vindoo vidogo vile vya sabuni za unga [VISADO" au makopo yale ya peanut butter tulikuwa tunayaita "BANGALA"....

Yaani ukimaliza uji hapo vipindi vyote vinavyofuata hapo baada ya breaktime ni usingizi wa kufa mtu aisee....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli kabisa mkuu.

Nikiwa olevel nilikuwa nasinzia sana vipindi kuanzia saa 5 baada ya uji.

Ila Advance nilisoma shule ambayo tulikuwa tunakunywa uji asubuhi kabla ya kwenda Assembly, halafu saa 4 tulikuwa tunakunywa chai kavu bila kitafunwa ila unajinunulia kama una hela. Sasa hapo nilikuwa nakunywa uji asubuhi halafu chai naipotezea, suala la kusinzia kisa uji wakati wa asubuhi lilikuwa gumu sana ukilinganisha na mida kuanzia saa 5.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
 
Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Vituko vya shuleni ni vingi sana aisee
 
Jamani huu Uzi, Mbavu zangu Mweeh hapo kwa Evelyn Salt [emoji23]
Halafu umesahau kuongeza hapo kwa T ake
Heaven Sent
Pamoja na Usongolist, angekuwa pia anatuongoza Fellowship.. [emoji85]
Eehhh!! mama mchungaji tena nimemuweka yaani yeye ndo mambo yake hayoo!mama mchungaji!
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent [emoji85][emoji85] na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.

Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
U-asha kisomo nilikuwa si haba teh

Kitu ambacho sikuwahi kukielewa ni kwamba levels zote nilizozisoma, baada ya muda kupita nimeanza kuzoeana na watu, majority walikuwa wananiambia hawakutegemea kama ntamaliza shule salama bila kufukuzwa au supp/disco chuo. Sura yangu imekaa kimatukio matukio sana eti,so they were expecting the worst from me. Mwisho wa siku nilijikuta nina marafiki wengi mnoo, baada ya wengi kuona I was different from mtu waliyekuwa wanamuwazia. Na hata leo baadhi ya watu wananionaga nimeshindikana mweeh.

Kanisani nilikuwa yule kiongozi mcharuko. Wapendwa wote wanasalimiana kipendwa, mimi sometimes nilikuwa naitikia "pouwah " mweeh. Baadaye ndo nikaja kuzoea sasa (aibu naona mimi)

Enheee!umepatia kabisaa yaani!tena heaven sent wangemkoma ukienda pale kila mtu anamuogopa maana si kwa neno hiloo atakalowapatiaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]hao hapo wao ni wakujimix kila konaaa!!ila huyi mbalizi angekua anapenda videmu vya kiswazi balaaa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Vituko vya shuleni ni vingi sana aisee
Kuna jamaa tulikua tunamwita higly trained terrorist ... Alkua anaingia na vibomu mpaka necta akawalipua ...
 
Back
Top Bottom