JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana mondray halafu sasa shunie og sasa hata mapesa haombi usipompa ndio basi hajui kuomba
Kastaarabu hataree hua kanatuporomoshea maombi. I wish ningekua napesa mingi nimpate
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana mondray halafu sasa shunie og sasa hata mapesa haombi usipompa ndio basi hajui kuomba
Woooow lakini wazoefu wanasema pesa ni sukari ya mapenzi. Nikija hivi maskini si nitagongewa aiseee
 
Mkuu nadhan wewe ulkua unaingia na vibomu kwenye pepa .... Hadi tukakupachika jina la " higly trained terrorist
Hahaaa katika kitu kilikua mwiko kwenye maisha yangu ya school ilikua ni kuangalizia,kuuliza majibu au kutumia vibomuu
 
My genius Dadaaa!!speake English we uko vzr sanaa!!!


Awww!, jamani Rey...
I appriciate my dear, this's so kind of You!
Lakini ndo tunaendelea kujifunza hapa JF.

Halafu jamani siku ile kwenye ile thread ya mheshimiwa Shy..,niliona salamu zako.
Kuja kurudisha majibu then nikaondoka kidogo, kurudi nakuta kumbe mods walipita na wakaamua kujibebea baadhi ya comments na kuondoka nazo. Zile ambazo zilikuwa S.explicit sawa, lakini jamani mpaka za salamu?!

Anywayz...I love you back giiiirl! 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…