Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 #1 Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k Vichwa vitasomeka hivi. 1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini 2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800). 3. 7800 yazua kizaa zaa. 4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM) 5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin) Ongeza vichwa vya habari.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k Vichwa vitasomeka hivi. 1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini 2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800). 3. 7800 yazua kizaa zaa. 4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM) 5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin) Ongeza vichwa vya habari.
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Sep 7, 2019 #2 Hhahah
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #3 Faljarah Mahsen said: Hhahah Click to expand... Hii nayo ni title ya gazeti mkuu?
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,033 Sep 7, 2019 #4 Daby awasakama mabwenyenye wa JF, hapatoshi!
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Sep 7, 2019 #5 Daby said: Hii nayo ni title ya gazeti mkuu? Click to expand... Kilinge cha Mshana Kusambaratishwa hadharani
Daby said: Hii nayo ni title ya gazeti mkuu? Click to expand... Kilinge cha Mshana Kusambaratishwa hadharani
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #6 king otaligamba said: Daby awasakama mabwenyenye wa JF, hapatoshi! Click to expand... Hapana langu litakuwa hivi. Daby atangaza ndoa kwa wafungua PM wote.
king otaligamba said: Daby awasakama mabwenyenye wa JF, hapatoshi! Click to expand... Hapana langu litakuwa hivi. Daby atangaza ndoa kwa wafungua PM wote.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Sep 7, 2019 #7 Wanawake Waamua Kuwasaka Waume Kwa Nguvu
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #8 Faljarah Mahsen said: Kilinge cha Msana Kusambaratishwa hadharani Click to expand... Sky Eclat amlilia Mshana Jr kumpatia limbwata la kumtuliza Asprin. Hii sio yangu kaandika mama klaree.
Faljarah Mahsen said: Kilinge cha Msana Kusambaratishwa hadharani Click to expand... Sky Eclat amlilia Mshana Jr kumpatia limbwata la kumtuliza Asprin. Hii sio yangu kaandika mama klaree.
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,033 Sep 7, 2019 #9 Daby said: Hapana langu litakuwa hivi. Daby atangaza ndoa kwa wafungua PM wote. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Daby said: Hapana langu litakuwa hivi. Daby atangaza ndoa kwa wafungua PM wote. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,692 Reaction score 4,442 Sep 7, 2019 #10 "Hatimae mchakata papuchi afilisiwa kibanda chake cha kiepe" Udaku wa Zero IQ
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Sep 7, 2019 #11 Daby atelekeza mke na watoto kisa PM ya mdada mrembo
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #12 Kichwa Kichafu said: Wanawake Waamua Kuwasaka Waume Kwa Nguvu Click to expand... Makapuku yafariki kifo cha mende huku uzi wa kupata likes ukin'gara vyema.
Kichwa Kichafu said: Wanawake Waamua Kuwasaka Waume Kwa Nguvu Click to expand... Makapuku yafariki kifo cha mende huku uzi wa kupata likes ukin'gara vyema.
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Sep 7, 2019 #13 Daby said: Sky Eclat amlilia Mshana Jr kumpatia limbwata la kumtuliza Asprin. Hii sio yangu kaandika mama klaree. Click to expand... Daby I.C.U kwa Kuanikwa Hadharani Yale ya PM
Daby said: Sky Eclat amlilia Mshana Jr kumpatia limbwata la kumtuliza Asprin. Hii sio yangu kaandika mama klaree. Click to expand... Daby I.C.U kwa Kuanikwa Hadharani Yale ya PM
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #14 Khantwe said: Daby atelekeza mke na watoto kisa PM ya mdada mrembo Click to expand... Hahaha kichaa wewe...huyo mke yupo wapi? Atoto akosa soko. Hahaha Ataniua.
Khantwe said: Daby atelekeza mke na watoto kisa PM ya mdada mrembo Click to expand... Hahaha kichaa wewe...huyo mke yupo wapi? Atoto akosa soko. Hahaha Ataniua.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #15 Father of all Snipers said: "Hatimae mchakata papuchi afilisiwa kibanda chake cha kiepe" Udaku wa Zero IQ Click to expand... Mchakata papuchi na Demiss ana kwa ana Idodomya.
Father of all Snipers said: "Hatimae mchakata papuchi afilisiwa kibanda chake cha kiepe" Udaku wa Zero IQ Click to expand... Mchakata papuchi na Demiss ana kwa ana Idodomya.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #16 Faljarah Mahsen said: Daby I.C.U kwa Kuanikwa Hadharani Yale ya PM Click to expand... Huyu lazima atakuwa joanah tu. joanah asalimu amri ya Daby
Faljarah Mahsen said: Daby I.C.U kwa Kuanikwa Hadharani Yale ya PM Click to expand... Huyu lazima atakuwa joanah tu. joanah asalimu amri ya Daby
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Sep 7, 2019 #17 Daby said: Hahaha kichaa wewe...huyo mke yupo wapi? Atoto akosa soko. Hahaha Ataniua. Click to expand... Mi simo Kaboom atorokea kusikojulikana, mke wake ahaha kutafuta wa kumtuliza. Atoto akija hapa mwambie nimefwariki
Daby said: Hahaha kichaa wewe...huyo mke yupo wapi? Atoto akosa soko. Hahaha Ataniua. Click to expand... Mi simo Kaboom atorokea kusikojulikana, mke wake ahaha kutafuta wa kumtuliza. Atoto akija hapa mwambie nimefwariki
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #18 Hatimaye kiwatengu apata wa kumtuliza.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 7, 2019 Thread starter #19 Khantwe said: Mi simo Kaboom atorokea kusikojulikana, mke wake ahaha kutafuta wa kumtuliza. Atoto akija hapa mwambie nimefwariki Click to expand... Mzigua90 , Khantwe, Atoto waamuliwa wakimgombea Kaboom.
Khantwe said: Mi simo Kaboom atorokea kusikojulikana, mke wake ahaha kutafuta wa kumtuliza. Atoto akija hapa mwambie nimefwariki Click to expand... Mzigua90 , Khantwe, Atoto waamuliwa wakimgombea Kaboom.
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Sep 7, 2019 #20 Mwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza. Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano
Mwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza. Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano