JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Makalio ya @finacial services yapwaya.
 
😂😂😂😂😂😂

Dawa za nguvu ya kiume kusakwa kwa udi na uvumba.

Raha ya kunyonywa papuchi/dushelele pamoja na karaha zake.

Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k

Vichwa vitasomeka hivi.

1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini

2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).

3. 7800 yazua kizaa zaa.

4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)

5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)

Ongeza vichwa vya habari.
 
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom