Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.
Wanazengo wabaki midomo wazi, wakubaliana na msemo wa wahenga 'mchagua nazi huinukia koroma'breaking newzii:
hatimaye babu SHIMBA YA BUYENZE na Behaviourist wafunga ndoa na wasichana wembamba kama Betina.
log out
Chrismoris achokoza nyuki.X wa mganga ana sauti nzuri huyooo halafu ana rangi ya mtume. Sema ni vile tu mganga alishamuwahi.
swadakta,Wanazengo wabaki midomo wazi, wakubaliana na msemo wa wahenga 'mchagua nazi huinukia koroma'
SweetieLee amliza kijana wa watu kweupe.Daby azidi kung'ara nafasi ya uenyekiti bora kamati ya mabaharia.!!
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makapuku yafariki kifo cha mende huku uzi wa kupata likes ukin'gara vyema.