Baba swalehe ajaribu kumtongoza mzigua90 hadharani je atafanikiwa?Vipi tunaweza kuwa wapenzi ?
Wanazingua sana mabahariaTehethe...mabaharia wanayeyusha, sio?
Nimeumia mno bwana mjumbe kwa uzushi unaondelea.!!Naona umeanza kujitetea 😂
Yafahamika mwanaume aliyemrusha Zuriel_cfc 50,000tsh ni member mashuhuri wa JF.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] asanteni kwa kunichekesha, naamini siku yangu itakuwa njema sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejuaje aisee, au ni wewe eti
Kwakweli bwana mwandishi, 'kujilipua' ni kati ya mitongozo bora sana na inayohitaji ujasiri wa kujikana nafsi, pongezi za dhati kabisa zimfikie mjumbe Mortdecai popote pale alipo.!!Tehteh.... haya mimi ni mwandishi kutoka gazeti la udaku JF.
Nakupa kipaza sauti ebu ndugu mjumbe tuambie unauzungumziaje ule mtongozo?
tutafanya kikao cha dharura sisi kama kamati, tutaweka agenda hii mezani kisha tutakuja hapa na mrejesho mujarabu kabisa..!!Hivyo mjumbe awe na amani ushamwelewa, sio?
Sana tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Yes wewe....
Au wanakuzushia?
Hongera sana kwa kufichika Mkuu
Fanya kunirudishia basi maana hali mbayaNinavyokujua hivyo nitashindwaje kujua ulirushwa!
Hapana.Huyo huyo bwana wako ni mume kwa mke mwingine...shauriyo usiseme sikusema.