JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Tehteh.... haya mimi ni mwandishi kutoka gazeti la udaku JF.

Nakupa kipaza sauti ebu ndugu mjumbe tuambie unauzungumziaje ule mtongozo?
Kwakweli bwana mwandishi, 'kujilipua' ni kati ya mitongozo bora sana na inayohitaji ujasiri wa kujikana nafsi, pongezi za dhati kabisa zimfikie mjumbe Mortdecai popote pale alipo.!!
 
Kwakweli bwana mwandishi, 'kujilipua' ni kati ya mitongozo bora sana na inayohitaji ujasiri wa kujikana nafsi, pongezi za dhati kabisa zimfikie mjumbe Mortdecai popote pale alipo.!!
Hivyo mjumbe awe na amani ushamwelewa, sio?
 
Hivyo mjumbe awe na amani ushamwelewa, sio?
tutafanya kikao cha dharura sisi kama kamati, tutaweka agenda hii mezani kisha tutakuja hapa na mrejesho mujarabu kabisa..!!
 
Enjoy!
20190907_111328_0000.jpeg
 
Back
Top Bottom