JF ingekuwa gazeti la udaku.

Hiyo heading ya kwanza nimeipenda.[emoji1787][emoji1787]
 
Na ushungi juu,acha kabisa,na tunavyojua "Lulu huwa nzuri ikiwa katika jumba lake".

Halafu ukabe pale namba tatu,yaani beki wa kupanda na kushuka,halafu awe namba nne full mkoba,time iwe imekamilika.

Wewe subiri nikuvalie njuga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani ushungi kitu gani!?
Hadi Sasa nnao na nna picha nimevaa.
Kuvaa sio tatizo..Ni moja Kati ya mavazi yangu.
Shida kuuamini huu uongo,eti naenda kuwa mke wa nne[emoji25][emoji12]
Zurri unaota ndoto za mchana[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nimecheka
 
Kwahiyo mkuu kwenye ule uzi wetu kule unatuzuga ama nini au umeokoka na ajali ya moto.
Mimi niliokoka rasmi tangu 1982, babu wa mama yangu kajenga Azania Front 1903 familia zangu kwa baba na mama zote ni za kichungaji.

Sema jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…