Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji7][emoji7][emoji7]Khantwe aolewa na wax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7][emoji7][emoji7]Khantwe aolewa na wax
Namaanisha kila mtu anapendwa na mumewe babyHeeeeeh unasema?? Sikusikii Ebu ongeza volume
Lizarazu hakutaka watu wengi wawepo[emoji3526]Hiyo harusi mbona imefanyika kimya kimya sana. Au bajeti ilikuwa ndogo ?
Kwanini!?Unapishana na mengi cute
Halleyujah....!!!!
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani ushungi kitu gani!?Na ushungi juu,acha kabisa,na tunavyojua "Lulu huwa nzuri ikiwa katika jumba lake".
Halafu ukabe pale namba tatu,yaani beki wa kupanda na kushuka,halafu awe namba nne full mkoba,time iwe imekamilika.
Wewe subiri nikuvalie njuga.
Ukija kule uje kujifunza na sio kubishana.Wewe jifarague hapa hadharani,subiri nitakuja sirini huko nikubabanishe.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.
Hahaha.
Atorokwa kwa alarm alfajiri chumba cha kulala wageni.
Kwanini uko hivyo Sasa!?Mimi niliokoka rasmi tangu 1982, babu wa mama yangu kajenga Azania Front 1903 familia zangu kwa baba na mama zote ni za kichungaji.
Sema jingine.
Mimi niliokoka rasmi tangu 1982, babu wa mama yangu kajenga Azania Front 1903 familia zangu kwa baba na mama zote ni za kichungaji.
Sema jingine.
Thread za Da'Vinci zafutwa rasmi Kama alivyoomba.Hatimae @Mimimkulimaakacheka sana aomba kupunguxiwa urefu wa jina lake