Basi utakuwa wa 3.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani ushungi kitu gani!?
Hadi Sasa nnao na nna picha nimevaa.
Kuvaa sio tatizo..Ni moja Kati ya mavazi yangu.
Shida kuuamini huu uongo,eti naenda kuwa mke wa nne[emoji25][emoji12]
Zurri unaota ndoto za mchana[emoji23][emoji23]
Hata wa 1 kwa hiyo dini siwezi kabisa.Basi utakuwa wa 3.
Mimi nakuka kukufundisha,sifa ya ubishi siipendi kupita kiasi.Ukija kule uje kujifunza na sio kubishana.
Si unajua Mimi sijui ubishi[emoji12]
Sikia .........Hata wa 1 kwa hiyo dini siwezi kabisa.
Haya.Mimi nakuka kukufundisha,sifa ya ubishi siipendi kupita kiasi.
Nisikie Nini?Sikia .........
Safari hii nakuja kukutongoza tu,hakutakuaa na vifungu wala nini.Haya.
Ukija uje kwa lengo Hilo.
Ukija kushindana na kukebehi sintakujibu
Udaku katika ubora wake!! Uzi umefungua leo, umeshafika pg.15?????
Bi Niah aachika sababu ya kukaa muda wote kwenye JF, amejaribu kunywa sumu wakampa mkojo!
Daaah,ila poa tu.Nisikie Nini?
Utafeli vibayaSafari hii nakuja kukutongoza tu,hakutakuaa na vifungu wala nini.
Poa Nini!?Daaah,ila poa tu.
I am in a singularity state beyond Nietzschean good and evil.Kwanini uko hivyo Sasa!?
Nakwambia kwamba level ya kuokoka nishaipita.Kwahiyo mkuu kwenye ule uzi wetu kule unatuzuga ama nini au umeokoka na ajali ya moto.
Hembu ongea tu kiswahili.I am in a singularity state beyond Nietzschean good and evil.
Nawe umegundua hilo eehhhMwezi wa tisa waongoza kwa IDs mpya za warembo,ni baada ya Demis na mwenzake kuanikwa live.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hembu ongea tu kiswahili.
Kizungu Mimi sijui
Kwa kuwa mvivu kusoma makala za uchunguziKwanini!?