Basi utakuwa wa 3.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani ushungi kitu gani!?
Hadi Sasa nnao na nna picha nimevaa.
Kuvaa sio tatizo..Ni moja Kati ya mavazi yangu.
Shida kuuamini huu uongo,eti naenda kuwa mke wa nne[emoji25][emoji12]
Zurri unaota ndoto za mchana[emoji23][emoji23]