Waje tuchukue selfie as long nauza vidali na chips sio mbaya 🙂 , leo jioni utakuwa wapi nikufuate tufurahie mafao ya chips bestie...Watu wabaya sana. Ngoja waje pale kwenye goli lako wakuchukue picha waje kuitupia humu.
😂😂😂"Mrembo atoweka jukwaani baada ya picha yake ya beach kuvuja"[emoji126][emoji126]
Waje tuchukue selfie as long nauza vidali na chips sio mbaya 🙂 , leo jioni utakuwa wapi nikufuate tufurahie mafao ya chips bestie...
Ndio kwanza saa 3 asubuhi, na maji hayatoki usinitoe kwenye mstari nikashindwa kuongea kwa points na UWASA.
Tuliza kijambio.
Nitakujuza baadae nitakuwa wapi but nahisi nitakuwa kidimbwini..Nitakua Azura bestie nampeleka dogo kwenda kutembea kidogo. Kuna event ya watoto
Nitakujuza baadae nitakuwa wapi but nahisi nitakuwa kidimbwini..
Basi twaweza onana bestie...Na sie tukitoka tutakuja Kidimbwini nadhani madogo wakisharudi nyumbani
Basi twaweza onana bestie...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]we jamaa..nimecheka sana aiseeKiduku lilo ajikojolea hadharani
Teh teh..Uchizi wako ndo unafanya nikupende zaidi..Ntafurahi tukikutana mbinguni pia..Sitakuwa boredHapana, kwanza tulianzaga kama one night stand kisha tukanogewa mzee akatangaza ndoa
Teh teh..Andaa fungu la kampeni bro kama kweli unalitaka jimbo..
[emoji7][emoji7][emoji7] I love youTeh teh..Uchizi wako ndo unafanya nikupende zaidi..Ntafurahi tukikutana mbinguni pia..Sitakuwa bored
Ma what..??
Mimi tu ndio nimetuliaKuweka kumbukumbu sawa..Atoto hajawahi kutulia..
Kuna watu mnavipaji shigongo apitie huu uzi nimecheka mno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza.
Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano
Hahahahahah utaniua ..my ribsMwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza.
Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano