JF ingekuwa gazeti la udaku.

Dondoo :
Na mwandishi wetu: NDsbsjbsk

Kikongwe wa miaka 70 (FaizaFoxy) afungua chuo cha Lugha ya kiswahili, alaani vikali uharibifu wa lugha haswa kiswahili, aelezea masikitiko yake na msukumo wa kuanzisha chuo[emoji2][emoji2]

Kikongwe: "kweli inasikitisha, sijui hizo shule mlienda kusomea ujinga [emoji849][emoji849]??!![emoji34], Watu hawajui kutofautisha matumizi ya R na L"
 
Siri imevujaaa...Mabaharia maarufu wa JF wote wana vibamia..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…