Naona Siku hizi umekuwa/ umeshusha mihemko.Aise, naona umenifukunyua hadi umejua nafanya wapi kazi ππ. Wewe huoni siku hizi nimekuwa mpole sana best.
Taja location boss
Niambie best, maana wadada wa huku nawaogopa hawaishi kuweka kitu hadharani.Halafu weweee
Khe! Kwani melo alikataza watu kutagiana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeacha siasa ukaja na ID mpya!Niambie best, maana wadada wa huku nawaogopa hawaishi kuweka kitu hadharani.
Kwa moyo mkunjufu nimeamua kupoa kabisa
Hahah hapana best, nilimsamehe sasa hivi nimeamua kuwekeza nguvu zangu katika banda langu la chips..Naona Siku hizi umekuwa/ umeshusha mihemko.
Nahisi aliyekula hela zako kajileta mwenyewe ( natania)ππ
Hatimaye santino kapata mrembo PM, kaambiwa kuonana nae ni mpaka miezi 6 ipiteApata taharuki baada ya kujua mwanaume aliyewahi kumtukana huko pm amepata mke mzuri zaidi yake.
Picha 5 za member mkongwe kuanikwa wiki hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Hahah hapana best, nilimsamehe sasa hivi nimeamua kuwekeza nguvu zangu katika banda langu la chips..
Halafu naomba usiendelee kumwaga ubuyu humu ndani, maana hawatakawia kunianika na kunifungulia uzi kabisa..
Hapana tatizo utawakumbusha watu yale ya nyuma, wakati hali ilikuwa ishaanza kutulia kwa upande wangu. π πKhe! Kwani melo alikataza watu kutagiana?
Hapana hii mbona ni ID yangu ya siku zote, siku ukitoka morogoro na kuingia dar karibu upate kidali na pepsi baridi katika goli langu mkuu.Umeacha siasa ukaja na ID mpya!
Mkuu hujanitafuta PM ungenitafuta kweli lazima tungekutana location
MmmhhhHapana hii mbona ni ID yangu ya siku zote, siku ukitoka morogoro na kuingia dar karibu upate kidali na pepsi baridi katika goli langu mkuu.