JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
you've made my morning walaqhi'..!!

Waandishi mashuhuri wa JF wakosa cha kuandika, wahaha wakiitafuta dictionary usiku na mchana, wakiongozwa na M/kiti Sakayo na makamu wake yna2..!
Habari kamili na picha uk.2..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni baada ya member maarufu sweetlee kujibu kwa kiTrump na kwaacha wambea wakihaha
 
Naona Siku hizi umekuwa/ umeshusha mihemko.
Nahisi aliyekula hela zako kajileta mwenyewe ( natania)😂😂
Hahah hapana best, nilimsamehe sasa hivi nimeamua kuwekeza nguvu zangu katika banda langu la chips..

Halafu naomba usiendelee kumwaga ubuyu humu ndani, maana hawatakawia kunianika na kunifungulia uzi kabisa..
 
Back
Top Bottom