Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #201
Hata mie kanishangaza kukataa mtongozo mzuri kama ule.SweetieLee achomoa mtongozo hadharani
Habari kamili UK. 10
Eeeeh... SweetieLee tuambie tukutongozeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie kanishangaza kukataa mtongozo mzuri kama ule.SweetieLee achomoa mtongozo hadharani
Habari kamili UK. 10
Vipi tunaweza kuwa wapenzi ?Aaah wapi
Tehtehteh...Wanaume JF wapewa bei elekezi ya kuhonga wadada, ni 7800.. Wadada wajazana mahakamani wakipinga bei hiyo mpya, mwenyekiti wao Miss Natafuta aelezea... Habari UK3
Demis
Zingine wanachelewa kujua.Ukiitumia vibaya zinaunganishwa.
Ulikuwa wapi 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha,
Za ndani ndani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zingine wanachelewa kujua.
Tehteh.... haya mimi ni mwandishi kutoka gazeti la udaku JF.Haha,
Hivi mnajua mnanizushia tu bure kuna pahala nimemuambia pale kuwa nimemkataa.??
Msinifanyie hivyo bwaana.!!
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeanza kujitetea 😂Haha,
Hivi mnajua mnanizushia tu bure kuna pahala nimemuambia pale kuwa nimemkataa.??
Msinifanyie hivyo bwaana.!!
Ni heri Mungu aachiwe tu kuliko kufungulia PM mabaharia wa JF.Katibu wa CC aamuru wadada kufungua PM. Masaa matatu yatolewa la sivyo katibu atamwachia Mungu.