JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k

Vichwa vitasomeka hivi.

1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini

2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).

3. 7800 yazua kizaa zaa.

4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)

5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Kweli Jf. udaku mnaupenda! Uzi umefunguliwa leo


Ongeza vichwa vya habari.
Udaku katika ubora wake!! Uzi umefungua leo, umeshafika pg.15?????
Bi Niah aachika sababu ya kukaa muda wote kwenye JF, amejaribu kunywa sumu wakampa mkojo!
 
Hili swali hawezi kukujibu hadharani,mfate sirini atakujibu.

Huwa sitaki mchezo linapokuja suala hili,hakika mtanange ulikuwa mzito sana,lakini mwisho wa siku walikata ngebe zao. Ninastahili pongezi za dhati mno.
Wewe Zurri wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwanza umenikimbia kule.
 
Back
Top Bottom