Poa tu kufeli si ndio kuzuri na tumeumbiwa sisi kufeli.Utafeli vibaya
Nakuja,nakuja ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa tu kufeli si ndio kuzuri na tumeumbiwa sisi kufeli.Utafeli vibaya
Nakwambia kwamba level ya kuokoka nishaipita.
Sasa unamwambia Jenerali awe Koplo, anakwambia kashapita cheo hicho mwaka 1982, kwa nini unafikiri bado atakuwa Koplo mpaka leo?
Maisha ni kujiongeza.
Nakuja.Poa Nini!?
Nawe umegundua hilo eehhh
Majina mapyaMwezi wa tisa waongoza kwa IDs mpya za warembo,ni baada ya Demis na mwenzake kuanikwa live.
Kwanza sijaongea, nimeandika.Hembu ongea tu kiswahili.
Kizungu Mimi sijui
Hembu ongea tu kiswahili.
Kizungu Mimi sijui
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe
Ujue nitakupenda
Duhhh[emoji1373][emoji1373][emoji1373]Kwanza sijaongea, nimeandika.
Pili hicho si kizungu.
Unasingizia tu "kizungu sijui" lakini hata Kiswahili mwanagenzi.
Mbaya zaidi hadi avatar wamebadiliHilo nimeliona mapema sana,watu wameamua kuja kivingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo PM nikitafsirie
"Hatimae Zurri amekuwa Atheist"
Kwahiyo unanitisha ama ?Utafeli vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimae Saint anne akubali kunifata pm..
Kwa kuwa mvivu kusoma makala za uchunguzi
Nimechoka mwanzo kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasemekana Davinci anataka ayaseme hadharani yale alotaka kumwambia saint anane. Habari zaidi tusubir toleo lijalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saint anne achoka kusubiri Pm ya Da'Vinci
Hahahaha,haitatokea yaani ukiwa mkana Mungu ujue huna akili timamu,ukitaka kuamini hilo angalia mfano alioutoa Kiranga kuhusu dini na ukoplo yaani vitu viwili tofauti,na huwa namwambia ajifunze kutoa mifano lakini hafanyii kazi ushauri wangu.Amfuata @Kiranga