JF jogging club

JF jogging club

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
HABARINI WADAU WA JF

Muda sijajikita humu mama mfundaji kutokana na mihangaiko ya hapa napale
Nimewamisije hasa CharmingLady , Khantwe , KakaKiiza , snowhite , Mentor (babalao hahaaa) Mtambuzi , Paloma [sijui yupo humu] Lady doctor, Passion Lady, Watu8 Erickb52, Filipo [nduguupo], miss chagga [kwekweeeee], Arushaone jamani siwezi kuwamilizia hapa ni wengi niiliowamiso auuuuu nimemsahau figganigga nooooooooooo Chachu Ombara jamani

Nimeonelea tuweke miili yetu fit kwa kufanya mazoezi mafupi kila mkoa na watu wake toka humu jf hii itapendeza zaidi kuwa na afya njema nimelileta kwenu wadau nanyi mwaonaje hili tuwe na jambo hili

Mazoezi yangefaa zaidi kufanyika jioni kwa kila mkoa na kupeana update ya kinachojiri toka mkoa hadi mkoa , huwaga naona pale Taifa wakifanya mazoezi kwa kutumia mziki sasa wadau ninyi mwaonaje hili ni jema au la karibuni kwa maoni na msilete porojo za hovyo wakuuu plsssss

Wasalaam
LADYF
BS.jpg
 
u

umeongea point my dear sema watu wa humu wanaogopa kujuliskana ndo shida
Watu wanaogopa mengi mpaka hii post wanaogopa Pengine umetumwa hahaah , au unaweza kuta mtu anatumia jina zuuri la kidada kumbe ana makende! Noma sana wasiwasi ndio akili
 
u

umeongea point my dear sema watu wa humu wanaogopa kujuliskana ndo shida
Naweza nikakuona sura ila nisijue ID yako, la muhimu ni kuwa na sehemu maalum ya kufanyia mazoezi tuu!
 
Back
Top Bottom