Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,032
- Thread starter
- #201
Yah ..but to let anybody enter in that society regardless of w/ther he/she is proffessional or not provided she/he has only the money to join and pay the annual subscription fee..i think inaenda tofauti hata na jina la Society yenyewe TPN...so kama na shilingi 100,000 alafu nimemaliza zangu form four nikataka kuingia kwenye hichi chama na hakika milango itakuwa wazi sababu hela ya kuingia ambayo ndio kigezo kikubwa according to iyo email..je na mimi pia nitaitwa professional sababu niko kwenye chama cha ma professional???????/
labda mtsimbe atufafanulie vizuri kuhusu vigezo vya kuwepo hapo kwenye hicho chama....ni hela yako tu au na na academic qualifications pia zinaangaliwa?? na kama vinaangaliwa ni njia zipi zitumikazo ku assess????
Asante Wakunyuti . . . Kulikuwa na mjadala mkali kidogo katika posts za huko nyuma juu ya ni nani hasa anatakiwa awe mwanachama wa TPN. Katika katiba ya sasa mwanachama anaweza akawa Mnataaluma yeyote kwa maana ya kuwa amesomea fani fulani hasa kutoka katika vyuo vya elimu ya juu.
Lakini pia kunaweza kukawa na mwanataaluma fulani ambaye hajasoma rasmi lakini anauwezo mkubwa wa kufanya kazi za kitaaluma au ubunifu.
Katika makundi yote mtu yeyote lazima avutiwe na aamini katika Vision, Mission na Objectives za organization kabla ya kuwa mwanachama. Sijawahi kuona mtu anayejuinga na organization bila kuelewa madhumuni yake ni nini hasa.
Katika mapendekezo yaliyotolewa hapa JF, ni vema kukawa na kigezo rahisi, mfano: kwa lugha rahisi qualification ya kuwa mwanachama ni lazima uwe Mwanataaluma (Wa kusomea au bila kusomea) ili mradi tu umevutiwa na Vision, Mission na Objectives.
Nadani wataalamu wetu wa lugha wataliangalia hili kama pendekezo, na kama litakubaliwa na wanachama katika AGM ya mwezi wa nane basi litaingizwa katika katiba.
Asante sana kwa mchango wako.