Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,032
- Thread starter
- #181
Sikujua kwamba tunashindana. Nisingejihusisha.
Oni langu ni kwamba kipengele 3.1.1 na 3.1.2 cha Katiba yenu kinauawa na kipengele 3.1.3.
Unakubali?
Mkuu Kuhani, putting aside our differences in approaching and looking into issues, I really like your Energy in debating matters. If in the really world wewe ni MZALENDO na MKEREKETWA wa Maendeleo, your ENERGY could be used to bring forth development. If u ask me my opinions on what kind of leaders we really need in our country, I sometimes think we need leaders with Energy and who can stick to their guns to protect the interest of the country without necessary looking into what the procedures are.
Pamoja na kuwa umekuwa wakati mwingine ukitumia lugha kali, lakini bado nakuona kama wewe katika really world kama utakuwa na MTAZAMO wa MAENDELEO you can do Wonders. If we are talking in a Country level, I will say you can be a better PM. Of course intakubidi tu uondoe style yako ya lugha lakini keep on sticking in your guns. Things will change.
Tukirudi kwenye hoja ya msingi, swali la wewe kuleta hoja mbadala nimekuuliza kama mara 3 au 4 lakini ndiyo unaijibu sasa. Nakushauri, uwe unaangalia majibu ya hoja zako zilizopita na wewe pia kuzijibu . . .
Kwa maoni yangu issue uliyoizungumza ya kwamba kipengele 3.1.1 na 3.1.2 cha Katiba yenu kinauawa na kipengele 3.1.3 inazungumzika na nitaifikisha TPN ifanyiwe kazi. Ni vizuri pia ukajua kuwa kitu kama Katiba kabla haijapitishwa ilipitiwa na wanachama ambao pia walitoa maoni yao mbalimbali na kisha kupitiwa na wanasheria na kuboreshwa. Kama utasema ilikosewa mimi na kuwa watu wote hao hawajui kwa kweli siwezi kusema kwa uhakika lakini niko open minded. Ninachoahidi ni kuwa nitafikisha issue hii mbele ya TPN iweze kujadiliwa na kufanyiwa kazi.
Hata hivyo asante kwa critics zako zote, zinanifanya pia nikubali ni namna gani tuko binadamu tunaweza kutofautiana katika approaches na kudebate issues.
Kama kuna lolote lingine karibu tuendelee . . . LOL