JF Karibuni Tanzania Professionals Network


Asante Wakunyuti . . . Kulikuwa na mjadala mkali kidogo katika posts za huko nyuma juu ya ni nani hasa anatakiwa awe mwanachama wa TPN. Katika katiba ya sasa mwanachama anaweza akawa Mnataaluma yeyote kwa maana ya kuwa amesomea fani fulani hasa kutoka katika vyuo vya elimu ya juu.

Lakini pia kunaweza kukawa na mwanataaluma fulani ambaye hajasoma rasmi lakini anauwezo mkubwa wa kufanya kazi za kitaaluma au ubunifu.

Katika makundi yote mtu yeyote lazima avutiwe na aamini katika Vision, Mission na Objectives za organization kabla ya kuwa mwanachama. Sijawahi kuona mtu anayejuinga na organization bila kuelewa madhumuni yake ni nini hasa.

Katika mapendekezo yaliyotolewa hapa JF, ni vema kukawa na kigezo rahisi, mfano: kwa lugha rahisi qualification ya kuwa mwanachama ni lazima uwe Mwanataaluma (Wa kusomea au bila kusomea) ili mradi tu umevutiwa na Vision, Mission na Objectives.

Nadani wataalamu wetu wa lugha wataliangalia hili kama pendekezo, na kama litakubaliwa na wanachama katika AGM ya mwezi wa nane basi litaingizwa katika katiba.

Asante sana kwa mchango wako.
 

Karibu sana JF kwa mara nyingine. Ni vema ukawakaribisha members wa TPN wajiunge hapa vile vile (wale mbao hawaifahamu JF) natumaini umekwisha fanya hivyo ili waweze kutoa mawazo yao kama vile ulivyofanya na tuendelee kulisukuma gurudumu la maendeleo kwenye kila nyanja kwani baada ya hapo ndipo utakapoona members wengine wa hapa hapa JF wakiichangamkia hiyo organization. Tunashukuru sana kwa kutuwezesha kuifahamu zaidi TPN.

Karibu sana kwenye jukwaa la siasa vile vile ... ... Karibuni sana wana TPN kwani mtaongeza changamoto hapa kwa wale ambao hamjajiunga.
 
You hope?? Kwani wakufunzi ni wakina nani? Give recent examples please. Pia kama network yenyewe itajaa watu ambao si "Professional", tu wale wenye uwezo wa kulipa hiyo 100,000. Such network doesnt sound very useful...

Asante MiratKad . . . . Recent Examples:

"Practise of Entrepreneurship for Professionals" - Mkufunzi, Dr Olomi from University of DSM Entrepreneurship Centre. Partcipation Fees TZS 10,000 for Members and 20,000 for Non-Members. What you get . . . CD of all Presentation (Normally there are minimum of 2 presenters) and Stationery for training, bitings and soft drinks and time to interract with other paticipants. You are also given a Certficate of Attendance. Video for the Training can also be bought at an extra fees of TZS 10,000.00

Sasa ukipiga hesabu ya laki 1 na benefits hizo, utaona ni kiasi gani TPN inajitahidi kufanya. You can check at UDSM a similar course for probably 40 hours will cost you TZS 350,000. I know this as I know someone who paid this fees.

Another example is "Financial Options Avialble to Fund Professionals Projects" -Presenters - Mr. Deusi Manyenye SME Manager Barclays Bank, Mr. Sekou Toure Mndeme - Branch Director, CRDB, Gabriel Kitua - Director Capital Market Authority.

Partcipation Fees TZS 10,000 for Members and 20,000 for Non-Members. What you get . . . CD of Presentation and Stationery for training, bitings and soft drinks and time to interract with other paticipants. You are also given a Certficate of Attendance. Video for Training can also be bought at an extra fees of TZS 10,000.00.

After the session we agreed to form TPF Fund and also how to mobilize our assets for Loan Security. Few People also joined established a comany and raised capital of about TZS 30 Million.

Also please, note that 100,000 is a one time registratin fees. You can pay it in 4 instalments in a year.
etc etc.
 

Mzalendo Njimba asante sana kwa maaoni yako . . . Firstly why I requested you to read my previous posts in this same thread is because there were questions which you asked, which I have previously responded, I think more than 3 times. Also at my place it was around 2.00 AM after midnight and I was tired and wanted to go to sleep. However I requested you to come back to me if there will be any further questions.

My brother, you never came back to me with any questions as I requested, instead you picked up with an email from TPN Office administrator (I am not sure how you got it) and brought all those issues you have raised. Still I have done my best to clarify them and am still saying if they are not clear or you are not satisfied with my answers you can say so and will try to clarify more.

The rest of issues you have raised I have already clarified to you in my previous response to you. Others were also clarified in several past posts in this thread.

Njimba may be it is because you may not be reading all my posts. But, there is no single person who has posted and never received my response. If you have time and you dont mind you can try to go many of my posts I believe you can find more about TPN.
 

Mzalendo Wakunyuti . . . LOL, of course huu ni msalaba wangu na ni wajibu wangu ku-clear. Niliomba msaada wa maoni huko nyuma na sasa watu wanatoa maoni. Niliwakaribisha TPN na sasa watu wanataka wapate undani wa TPN kabla ya kuamua. I think this is very logical.

I have already clarified the issues in my response to his previous posts. I assume he will come back to me if he needs more clarifications or has other questions
 

Asante sana MTM . . . I have learnt to accomodate people with different opinions and approaches. Mkingano wa mawazo ni kitu cha kawaida.
 

Mzalendo Kitila . . . This is well written and to the point. I dont have anything to add up. Thank you so much . . .
 
Mkuu can you please explain the differences among network, Project, Ngo, Etc.

And You Can Join Network and Leave Upendavyo .... so longer umelipa subscription fee? I that what you mean?

Sorry I seem not to understand you here.

Njimba

Mzalendo Njimba . . . vyote ulivyovitaji ni vyama visivyo vya Kiserikali (Non State Actors).

Ni matumaini yangu hilo suala la fees nimelitolea maelezo. Kinachoanza siyo fees. Kwanza ni interest yako wewe binafsi tena ya hiari ya kujiunga na TPN, pili kupata particulars zako na kulipa fees au yote yanaweza kwenda pamoja.

Pia nimeeleza mifano mingi ya benefits mbalimbali ambazo mwanachama anapata. Kumbuka TPN inajiendesha yenyewe na haitegemei fedha za wafadhili.
 

Mzalendo Lazydog asante sana kwa maoni yako. Kuna details nyingi katika tovuti ya www.tpn.co.tz. Mzee ningekuomba ukipata nafasi uitembelee. Katika Pull menu, go to RESOURCE CENTRE. Kuna mabo mengi pamoja na consititution inayoelezea madhumuni na mengi mengineyo.

Nimetoa pia mifano mingi sana na ya vitendo ni nini TPN inafanya na imekwisha fanya. Kama ulikuwa unasoma post zangu katika thread hii, kuna maelezo ya uwazi sana. Lakini kama bado una specific issue tafadhali jisikie huru kuisema.
 

Mzalendo GM, asante sana kwa observation yako.
 

Asante sana ndugu yangu Zemarcopolo, unajua hawa wakulu usipowajibu haraka, wanaweza kudhani hauko serious. I must respond to each post kwa kuwa usipofanya hivyo watadhani una wadharau.

Toka thread hii ianze nimekuwa nikilala kati ya saa 8 na saa 9 usiku kwa kuwa siwezi kujibu mchana kwa haraka kwa sababu ya majukumu mengine. kama saa hizi tayari ni saa nane na dakika tano za usiku.

Usijali Mkulu ndo majukumu yenywewe haya. Thank you for your comment.
 

Mzalendo Ole, asante sana kwa ukaribisho wako na nafasi mliyonipa ya kutumia Forum yenu. Bila ya wasiwasi wanachama wa TPN watashauriwa kujiunga na JF ili kuweza kuchangia katika mijadala ya maendeleo ya taifa. Pia kwa mara nyingine napenda kutoa pongezi za dhati kwa wamiliki na viongozi wote wa JF pamoja na wanachama wake. Kazi inayofanyika hapa kwa maoni yangu ni nzuri sana. Hakuna kitu chema kama kutoa mawazo yako kwa uhuru.

Kwa hakika, tiketi ya kuwapa wana-TPN ninayo . . . . . Ni maoni yote yaliyotolewa katika mjadala huu. Watagawiwa na wao pia wapate nafasi. Ni katika process hiyo wataalikwa rasmi. Kwa sasa partcipating Members wa TPN wanapita 1000.

Mkulu majukwaa ya siasa natembelea sana na punde tu nitaanza kuchangia. Kwa sasa naelemewa sana kutoa majibu kwa wadau wanaochangia katika thread hii na hivyo kukosa muda.

Nashukuru sana kwa maoni yako mazuri ya kutia moyo.
 
Mtsimbe,

It looks like JF gave you a run for your money, but on the other hand I believe you have gotten a basket full of tangible good ideas that might help TPN for moving forward and for business as usual. I commend you for your elaborative answers and your time!
 


Good we need a committed leader like you...ngoja niipitie your constitution vizuri and then i will make my own decision..but i think ni idea nzuri before hata ku iread hiyo const...but anything might happen...let me take my time
 

Ahsante Mr President,

Maelezo yako nimeyasikia na nimekuelewa, ila tu kwa mtazamo wangu jina la organisation yako haliendeni na maana halisi ya neno professional.

Kwa kutumia OXford Dictionary:

Maana ya neno professional:
1) connected with a job that needs special training or skill, especially one needs special training and a high level of education:

2) (of people) having a job which needs special training and a high level of education:

Ukiangalia maana zote mbili zinataka "a high level of education".

Nina imani hata kama mawazo yangu hayajakupendeza sana ila jaribu kuangalia hilo. In red hapo juu nina linganisha na Swali la "Yai na Kuku Kipi Kilianza" .........

Ok Mr President kazi njema

Njimba
 


From your comments:
1) Hakuna taarifa kama member hajaqualify, yes understand your policy of win, win, win ............
2) Ahsante kama mtaliangalia.
3) Yes, as per item 1, However, noone has ever disqualified to be a member
4) No comment
5) No comment

Njimba
 
Mzalendo Njimba asante sana kwa maaoni yako . . .

My brother, you never came back to me with any questions as I requested, instead you picked up with an email from TPN Office administrator (I am not sure how you got it)

TPN.

Mr President,

I can see you are wondering the way I got that email from your office Administrator.

Ngoja nicheke kidogo, ha haaaaaaaaaaaaaaa!

This is JF brother, serikali, mashirika ya umma huwa wanashangaa the so called CONFIDENTIAL DOCUMENTS ARE HERE JANVINI ZIMEANIKWA , EPA, RICHMOND, ETC.

What I like with JF you do not know who is who?

Please do not sack your collaborators because of that email. Just sahihisha utaratibu wa kupata ma-member.

In addition, I might be a member or a prospective member of TPN

Njimba
 

Mheshimiwa Njimba,

Nimepitia katiba na documents kadhaa za hawa bwana (TPN) ambazo zinapatikana kwenye website yao. Kwa upande wa wanachama wanasema inabidi uwe "graduate of a higher learning institution". Sasa wewe unatilia shaka kwamba mtu aliyemaliza degree au diploma ya juu atakuwa sio professional? Halafu uelewa wangu ni kwamba moja ya lengo lao ni kutengeneza professionals, so sioni tatizo ukijiunga kabla hujawa professional madamu una-meet the minimum requirement, na katika kushiriki shughuli zao ukapata profession unayotaka.

Nikwambie kitu, mimi nime-deal sana na NGOs Tanzania. NGOs nyingi ni za kibabaishaji na zinaendeshwa na watu wawili, watatu, na wakati mwingine mume na mke na wala huwezi kuzi-trace. sasa angalia hawa TPN, nimepitia website yao, eeh bwana, ni nadra kupata NGO ya namna hii TZ. Tena nimeona mkutano wao wa December 2007 ulikuwa na wanachama hadi 120!!! Nimepitia documents zao kadhaa, eeh bwana jamaa ni wazuri na wanajitahidi sana na wana vision kubwa kwelikweli.

Tafsiri yangu ya lengo lao kuu ni kwamba wanataka kuwajengea watanzania uwezo, hasa vijana, ili waweze ku-realise potential zao vizuri na hivyo kutumia hizo potential katika kujiletea maendeleo yao na kuweza kuchangia maendeleo ya nchi, don't you think this is a noble cause worth supporting?

Nikiwa mwalimu naelewa matatizo ambayo graduates wetu wanayo inapokuja kwenye swala la uwezo katika nyanja mbalimbali, ikiwemo hata kuandika barua nzuri ya kuomba kazi, CV, interview skilss, uanzishaji wa biashara, n.k. Sasa mimi bwana mtu yeyote anayejitokeza kusaidia kutatua hili tatizo nitamuunga mkono sana, ndio maana naona kwamba hawa TPN ni muhimu sana wasaidiwe.

Mimi binafsi, kupitia maelezo ya kiongozi wao mahiri huyu bwana Matsimbe na documents zilizopo kwenye website yao, hawa TPN wamenishawishi sana. Nitafanya maamuzi ya mwisho ya kujiunga nao au la mara nikifika Dar na kuwatembelea ofisini kwao.
 
mkuu Can You Please Explain The Differences Among Network, Project, Ngo, Etc.

And You Can Join Network And Leave Upendavyo .... So Longer Umelipa Subscription Fee? I That What You Mean?

Sorry I Seem Not To Understand You Here.

Njimba

What Do You Think Njimba? Is Ngo Similar To Network? Can't You Leave Network Even After Making Informed Decision Of Paying Only To Be Disappointed Or Your Expectations Not Being Met?

With All Your Skills And Innovations, I Am Confident That You Can Differentiate Ngo And Network
 

Mzalendo Kitila,

To be frank with you I am not against their idea, ila tu ninataka wawe makini
Unajua kilichonistua pale niliposoma email yao na vile walivyokuwa rahisi kujiunga nao. Kama professional body sikutegemea kila kitu kiwe mara moja. Nilitegemea kwanza watume form ya maombi and then waipitie mtu akimiti conditions zao aruhusiwe kujiunga nao. Sasa ndio suala la malipo lije tatizo langu ni hilo.

I am Professional & Registered Quantity Surveyor ninaungana na wazo la kuunganisha profession za field zote, kwani itasaidia sana kufungua uwigo wa maendeleo kwenye nchi yetu.

Nitapokuwa tayari nitajiunga nao ili mapungufu yaliyopo kule TPN tusaidiane kuyatatua ili tuwe na the real "Tanzania Professionals Network".

Kwa hiyo siku moja tutakuatana kule bahati mbaya itanibidi nijitambulishe upya. Ukija nyumbani and if you wish to attend one of their monthly meeting tuwasiliale.

Njimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…