JF Karibuni Tanzania Professionals Network

Mkuu Njimba, hii thread nitaifanyia majumuisho na kuwapelekea members ili nao watoe maoni yao.

.

Mr President,

Nimeiona imelli uliyowatumia ma-member wote TPN na umewapa link ya thread, you are real a man of your words. Kilichonifurahisha zaidi baada ya kuwapa samaki yaani kujumuisha umewapa nyavu waje wavue wenyewe hapa JF. You deserve a credit on this one, congrats.

Ila tu washauri watumie nicknames kama sisi wengine, wanaweza wakasaidia kwa mambo mengine zaidi yanayohusu nchi yetu badala ya TPN peke yake.

Remember here is "Where We Dare to Talk Openly" nchi yetu bado hatuna viongozi ambao wako tayari kusikia mambo mabaya wanayofanya.

Once again congratulations on that.

Njimba
 
Sanctus,

I think we have reached somewhere, I am now accepting your "Karibu" it is time for action, I am on my way to TPN's office to register myself. I believe that Mjenga Nchi ni Mwananchi.

We will discuss all TPN's shortfall live. However, not under this name. When is the next members meeting?

See you there Mr President and God bless you.

Njimba

Great Njimba. This is called constructive criticism and proactiveness. You have made a very good decision to become part of the process. Best wishes.
 
Mr President,

Nimeiona imelli uliyowatumia ma-member wote TPN na umewapa link ya thread, you are real a man of your words. Kilichonifurahisha zaidi baada ya kuwapa samaki yaani kujumuisha umewapa nyavu waje wavue wenyewe hapa JF. You deserve a credit on this one, congrats.

Ila tu washauri watumie nicknames kama sisi wengine, wanaweza wakasaidia kwa mambo mengine zaidi yanayohusu nchi yetu badala ya TPN peke yake.

Remember here is "Where We Dare to Talk Openly" nchi yetu bado hatuna viongozi ambao wako tayari kusikia mambo mabaya wanayofanya.

Once again congratulations on that.

Njimba

Pengine tungemshauri Mr President naye pia awea anachangia thread zingine hapa JF maana sijamuona kabisa kwingineko, vinginevyo asije akaonekana yeye alijiunga na JF kwa ajili ya kutafuta wanachama wa TPN na sio mchangiaji. Ni ushauri tu!!
 
Wana JF lazima tukubali kuwa flexible JF sio mwisho wa dunia mimi binafsi napokea email kila mwezi kutoka TPN kwamuda mrefu kama ingekuwa ni mtoto sasa angekuwa anategemea kwenda shule.
Tukumbuke kisa cha mwendawazimu na nati nne, hata mwendawazimu husikilizwa hivyo mwana JF nenda TPN ukiona bomu lilete nyumbani.
Nadhani kwa sasa CCM hatuwezi kuishinda kirahisi kwa kwenda CUF, CHADEMA, TLP nk, kimsingi tunatakiwa tuingie humo humo CCM, aliye juu mfuate huko huko, na inapotoke migogoro katika CCM lazima tuhakikishe haishi imefikia kipindi cha kuigawa ccm kabisa.
Wakitukaribisha tutakukula kama wanaturibu na chakula hakitoshi basi wameumia.
Msimbe is just serving his purpose kama ni samaki yeye ni dagaa, tunao wahitaji wale madereva na si wapiga debe.
 
Kitila,

Ukienda katika jukwaa la elimu utamuona Mr. Mtsimbe kule akichangia na kaanzisha thread.
 
Pengine tungemshauri Mr President naye pia awea anachangia thread zingine hapa JF maana sijamuona kabisa kwingineko, vinginevyo asije akaonekana yeye alijiunga na JF kwa ajili ya kutafuta wanachama wa TPN na sio mchangiaji. Ni ushauri tu!!

Mkuu Kitila ninaungana na wewe,

Ukiangalia kwenye meseji yake ya kwanza anasema yupo hapa tangu zamani. Labda anatumia jina lingine kama ilivyo ada kwa sisi wengine hapa.

Inahitaji moyo kufanya kama wewe kama sikosei unatumia jina lako kamili. Anyway, he is public figure like Kabwe, Dr Slaa, etc, so he should come clean in all national issues so that we know him properly.

Mr President, tunataka mawazo yako kwenye threads zingine. Usishie kutukaribisha TPN tu;

I agree with you Mkuu Kitila.

Njimba
 
kuna chama kingine kipyaa, nasikia kinaitwa project managers associsation of tanzania?

nilimwona fisadi peter maro, na wengine wakizindua pale uibungo plaza. hiki ndo nakiogopa kama ukoma, peter maro ni yule fisadi mtoto wa mama ana mkapa, yule aliyeuza majengo yote ya ttcl, mengine akjiuzia yeye na mama yake
 
Ndugu S. Mtsimbe,

Mimi kama mmoja watanzania ambao wangeweza kujiunga na TPN nina machache ambayo ningependa kushauri na kupata ufafanuzi kabla ya kujiunga.

1. Nimepitia tovuti yenu, nimekutana na makosa kadhaa ya wazi ya lugha. Nadhani ni vizuri tovuti hii kwa sababu inawakilisha Tanzanian Professionals basi iwe na utaalamu wa hali ya juu. Napendekeza TPN itafute wahariri wazuri (tunao wengi) ili kuipitia. Mfano mdogo tu (na ipo mingi) mtu akisoma vision ya TPN kwenye ukurasa wa mbele haieleweki mpaka akifungua ukurasa wa objectives, ndio anaelewa. Wageni wenu wakitaka kuijua TPN watataka kusoma Vision. Wakishindwa kuielewa vision, wameshindwa kuielewa TPN.

2. Nashauri pia muwe makini sana na matumizi ya takwimu na taarifa mnazoweka kwenye tovuti. Ikiwezekana muonyeshe vizuri wapi mmepata (vyanzo) takwimu hizo. Kwa mfano, mkisema tanzania ni nchi maskini sana yenye watu zaidi ya "50% below poverty line...", basi mueleze chanzo. Kwa sababu hatuna hakika kama hiyo ndio takwimu sahihi. Na nadhani ni muhimu pia kuzipa takwimu nguvu - zimzungumze zenyewe bila kuweka maneno yoyote yanayoweza kuleta hisia za kuongezea "chumvi".

3. Jingine ambalo yawezekana ni swala la muonjo tu (na hili linaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu) na labda sio muhimu sana ni muonekano mzima wa tovuti hiyo. Kwa mawazo yangu tovuti hii inaonekana kama ya jumuiya kibiashara au klabu zaidi kuliko kitaaluma. Ingependeza kama mngekuwa na vitu vichache sana kwenye ukurasa wa mbele na rangi chache zaidi, kwa maana nyingine kusiwe na makeke mengi sana.

4. Mwisho, ningependa pia kujua umuhimu wa lugha ya taifa katika taasisi hii. Kwa sababu hii imekuwa ni conflict kubwa kwenye taaluma zetu hapa nyumbani na kumezuka mjadala mkali sana kwa miaka mingi wa athari ya lugha ya taifa na ya taaluma mashuleni kwenye maendeleo ya taifa. Na kwa sababu TPN itawajumuisha watu mbali mbali hata wasioweza kuelewa lugha ya kiingereza (kutokana na mission ya TPN). Je, mmefikiria swala hili na je kwa sababu hii ni taasisi ya wataalamu wa kitanzania na kwa sababu moja ya matatizo ya msingi ya watanzania ni wataalamu wetu kutumia mbinu za mataifa mengine kutatua matatizo yetu "local", je si vizuri chombo hiki kikalifanya hilo kuwa moja ya maswala muhimu kwa sababu kwa mataifa mengi yaliyoendelea huko ulaya na Asia ya kusini lugha imekuwa ni sehemu muhimu ya maendeleo ya kiuchumi.

Mzalendo Jim . . . . Nashukuru sana kwa maoni yako. Mficha Uchi Hazai na ndo maana tumewaomba wadau ili kupata maoni yenu . . . . . Uliyoyasema ni muhimu sana na kuna mengine baadhi ya wadau walishayatoa. Naahidi kuwa maoni yako tutayafanyia kazi.

Napenda kuchukua fursa hii tena kuwashukuru wote waliochangia thread hii. Ni mengi sana tumeyapata. Pia kuna walioniandikia na hata kutuma mapendekezo na maoni yao mengi tu. Yote yatazingatiwa. Kuna ambao pia wamenipatia contacts za Web Designers na Developers wazuri.

Kingine nilichojifunza kwako ni vema kuwe na lugha ya taifa ya Kiswahili. Nadhani tutakachokifanya sasa katika version mpya ya website pamoja na mabadiliko mengine, ni walau kuwe na uchaguzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.

Asante sana Jim.
 
Good work Mtsimbe,

Unapofanya kazi na watu ni lazima kuwa tayari kuwapokea wote wenye positive na negative attitudes kwani that's how we human we are...Kubwa hapa ni kwamba I personally accept your invitation hoja nyinginezo zinazotolewa hapa ni sehemu ya kutaka kupima joto la kobe ingawa najua si kitu rahisi sana kwani ni kiumbe kinachoishi so anaetaka kujua ana joto kiasi gani ni juu yake kufanya hivyo lakini kobe anaishi.

Otherwise TPN kama kuna manufaa au la si kwa kukaa nje na kuchungulia tu mafanikio ni suala la team work si kusubiri wenzako wajenge we ukafyonze mambo matamu haina tofauti na ufisadi tu!!!

Mi naona ni ufinyu wa mawazo na huenda ikawa njia nzuri ya kujua nani akijiungaTPN atakuwa productive na committed kuijenga au atakuwa kama fisi kusubiri mkono udondoke apate mlo. Mafanikio ni kwa jasho tuache politi waheshimiwa...

Mbarikiwe nyote!!!
 
.............Be aware of a naked man who offers his shirt....just curious

Noted. Mchelea remember "All mankind is divided into three classes: those that are immovable, those that are movable, and those that move". We can all choose where we want to belong.
 
. . . . Lakini na imani mtandao wa TNP unajitegemea utakapojiunga huko siyo lazima ujitangaze kuwa wewe ni JF member

Ipole, hakika mtandao wa TPN ni mtandao huru. Bila shaka kama kuna aliyewahi kuhudhuria baadhi ya Networking Meeting atakuwa pia amewahi kuwaona watu na hata viongozi kutoka vyama mbalimbali vya siasa. Hii inaweza kutoaa picha TPN ni Mtandao wa namna gani.

Hakuna haja mtu anapojiunga TPN ajitangaze kwa jina la JF na wala wana-TPN waliopo hapa JF au watakaojiunga JF hawana haja ya kutumia majina yao ya TPN. Katika hayo yote . . . kupanga ni kuchagua.
 
Mr President,

Nimeiona imelli uliyowatumia ma-member wote TPN na umewapa link ya thread, you are real a man of your words. Kilichonifurahisha zaidi baada ya kuwapa samaki yaani kujumuisha umewapa nyavu waje wavue wenyewe hapa JF. You deserve a credit on this one, congrats.

Ila tu washauri watumie nicknames kama sisi wengine, wanaweza wakasaidia kwa mambo mengine zaidi yanayohusu nchi yetu badala ya TPN peke yake.

Remember here is "Where We Dare to Talk Openly" nchi yetu bado hatuna viongozi ambao wako tayari kusikia mambo mabaya wanayofanya.

Once again congratulations on that.

Njimba

Njimba asante sana Mzalendo, tupo pamoja. Nimekuwa nikijulishwa na wana TPN wengi kuwa wameiona thread hii hapa JF. Hii inamaanisha kuwa TPN pia wako humu JF kitu ambacho nadhani ni jambo jema. Lakini pia, kuna baadhi ya wadau waliochangia katika thread hii na kujitambulisha kuwa ni wana-TPN.

Tukitaka TPN ikubalike ni vema tuifue kwa kuipitisha katika tanuru la moto ili hapa JF ili ikubalike na walio wengi. Njimba usikose kuja kwenye AGM 31-08-2008.
 
Great Njimba. This is called constructive criticism and proactiveness. You have made a very good decision to become part of the process. Best wishes.

Kitila karibu na wewe ndugu yangu. Au bado unapima joto? Karibu sana Mkuu.
 
Pengine tungemshauri Mr President naye pia awea anachangia thread zingine hapa JF maana sijamuona kabisa kwingineko, vinginevyo asije akaonekana yeye alijiunga na JF kwa ajili ya kutafuta wanachama wa TPN na sio mchangiaji. Ni ushauri tu!!

Mkuu, nimo humu . . . LOL "Where we dare to talk openly". Au unataka kujua natumia jina gani?

Mkulu majukwaa ya mengine nayatembelea sana na nimeanza kuchangia kwa jina langu hilihili. Ingawa kwa sasa bado naelemewa sana kutoa majibu kwa wadau wanaochangia katika thread hii na hivyo kukosa muda wa kutosha bado nitjitahidi kuchangia sehemu nyingine.

Nashukuru sana kwa angalizo lako.
 
Wana JF lazima tukubali kuwa flexible JF sio mwisho wa dunia mimi binafsi napokea email kila mwezi kutoka TPN kwamuda mrefu kama ingekuwa ni mtoto sasa angekuwa anategemea kwenda shule.
Tukumbuke kisa cha mwendawazimu na nati nne, hata mwendawazimu husikilizwa hivyo mwana JF nenda TPN ukiona bomu lilete nyumbani.
Nadhani kwa sasa CCM hatuwezi kuishinda kirahisi kwa kwenda CUF, CHADEMA, TLP nk, kimsingi tunatakiwa tuingie humo humo CCM, aliye juu mfuate huko huko, na inapotoke migogoro katika CCM lazima tuhakikishe haishi imefikia kipindi cha kuigawa ccm kabisa.
Wakitukaribisha tutakukula kama wanaturibu na chakula hakitoshi basi wameumia.
Msimbe is just serving his purpose kama ni samaki yeye ni dagaa, tunao wahitaji wale madereva na si wapiga debe.

Mzalendo Streetwiser . . . Noted with thanks and appreciation.
 
Mkuu Kitila ninaungana na wewe,

Ukiangalia kwenye meseji yake ya kwanza anasema yupo hapa tangu zamani. Labda anatumia jina lingine kama ilivyo ada kwa sisi wengine hapa.

Inahitaji moyo kufanya kama wewe kama sikosei unatumia jina lako kamili. Anyway, he is public figure like Kabwe, Dr Slaa, etc, so he should come clean in all national issues so that we know him properly.

Mr President, tunataka mawazo yako kwenye threads zingine. Usishie kutukaribisha TPN tu;

I agree with you Mkuu Kitila.

Njimba

Njimba tupo pamoja . . .LOL utaniona sana tu Mkuu. Nimeanza kidogo kidogo. Si unajua mambo ya JF. Ama?
 
kuna chama kingine kipyaa, nasikia kinaitwa project managers associsation of tanzania?

nilimwona fisadi peter maro, na wengine wakizindua pale uibungo plaza. hiki ndo nakiogopa kama ukoma, peter maro ni yule fisadi mtoto wa mama ana mkapa, yule aliyeuza majengo yote ya ttcl, mengine akjiuzia yeye na mama yake

Mkuu Mwikimbi . . . Habari ndo hiyo? Let us wait and see. Pengine wana mambo mazuri. Shida ni kuwa ukienda pale Home Affairs kuna vyama karibia 5000. Sijui vyote hivi viko wapi na vinafanya nini.
 
Good work Mtsimbe,

Unapofanya kazi na watu ni lazima kuwa tayari kuwapokea wote wenye positive na negative attitudes kwani that's how we human we are...Kubwa hapa ni kwamba I personally accept your invitation hoja nyinginezo zinazotolewa hapa ni sehemu ya kutaka kupima joto la kobe ingawa najua si kitu rahisi sana kwani ni kiumbe kinachoishi so anaetaka kujua ana joto kiasi gani ni juu yake kufanya hivyo lakini kobe anaishi.

Otherwise TPN kama kuna manufaa au la si kwa kukaa nje na kuchungulia tu mafanikio ni suala la team work si kusubiri wenzako wajenge we ukafyonze mambo matamu haina tofauti na ufisadi tu!!!

Mi naona ni ufinyu wa mawazo na huenda ikawa njia nzuri ya kujua nani akijiungaTPN atakuwa productive na committed kuijenga au atakuwa kama fisi kusubiri mkono udondoke apate mlo. Mafanikio ni kwa jasho tuache politi waheshimiwa...

Mbarikiwe nyote!!!

Mzalendo Kipanga . . . Asante sana kwa kututia moyo. I like the way yo speak with full authority. Nina uhakika muda si mrefu TPN itakuwa ni mtandao mkubwa sana . . . . stay tuned. Asante kwa mwongozo wako.
 
Njimba asante sana Mzalendo, tupo pamoja. Nimekuwa nikijulishwa na wana TPN wengi kuwa wameiona thread hii hapa JF. Hii inamaanisha kuwa TPN pia wako humu JF kitu ambacho nadhani ni jambo jema. Lakini pia, kuna baadhi ya wadau waliochangia katika thread hii na kujitambulisha kuwa ni wana-TPN.

Tukitaka TPN ikubalike ni vema tuifue kwa kuipitisha katika tanuru la moto ili hapa JF ili ikubalike na walio wengi. Njimba usikose kuja kwenye AGM 31-08-2008.

Brother Mtsimbe,

Thank you very much brother , I will be there live!

However, you have not mentioned the venue.

See you that day!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Njimba
 
Back
Top Bottom